Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

Nimesoma kama mara mbili hii komenti lakini sijaielewa au naweza sema ulichoandika hakielewek sana.
Ila nashukuru tunakubaliana jambo moja kwamba kuhoji elim ya mfalme ndio chanzo cha kupotezwa Ben. Mungu analipa kadri ya matendo yetu na malipi ya alichofanyiwa Ben yapo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili ya mjinga huwa haina gumu sababu ya utegemezi na kutokua na mikakati ya kusimama mwenyewe
Uko sahihi coz according to Serengeti national Park kujitambua ni kuwa sawa kifikra kama walivyo nyumbu. Sishangai mawazo yenu coz ndio sifa kuu ya wakaz wa huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa alisema anaichukia sana CHADEMA, leo amesema Mbowe alimtuma saa8 Sauzi na kwamba kafanyiwa ya Chacha Wangwe! Mi nimeuliza kama haya ni fact au ni ile chuki?!! Ila nakushukuru kwa hoja yako, ambapo unaamini Lisu kupigwa risasi ni sawa, pia Saa8 kupotea ni pouwa2!
 
Ben Saanane alitumwa na Mbowe Afrika Kusini, kumbe ilikuwa janja ya kumuuwa ili kuficha wizi wa ruzuku ya chama.

Ni kama Chacha Wangwe tu alichofanyiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
WE NI MUONGO INGEKUWA KWELI BASI HIYO INGEKUWA KARATA NZURI YA SERIKARI YETU YA CCM KUMALIZA MBOWE NA CHADEMA UMAARUFU WA KISIASA.
BY THE WAY SIKULAUMU,UNA POOR REASONING NA UMEAMUA KUCHAGUA UJINGA.
HONGERAKWA KUCHAGUA UJINGA.
 
ANZA KUCHUKUA HIYO TAADHARI KWAKO WEWE MWENYEWE BINAFSI KWA KUTOKUWA "KIHEREHERE", SABABU BIBLIA INATUONYA KUWA "UCHUNGE SANA ULIMI KATIKA METHALI ZA MFALME SULEIMAN".

KUKAA KIMYA PIA NI BUSARA SANA SABABU UNAEPUKANA NA MENGI HATA AMBAYO HUKUTEGEMEA, EBU TAFAKARI KWA KINA SANA UKIJIULIZA.

JE NI BEN SAA NANE PEKEE NDIYE ALIYEKUWA ANAFAHAMU UPATIKANAJI WA "PHD" YA KIONGOZI WAKO KWA 100%?

JE BEN SAA NANE ANGEPUNGUKIWA KIPI HASA ASINGEULIZA HIYO PHD YA BABA WA TAIFA LAKO?

JE HATA ANGEJIBIWA ANGENUFAIKA NA LIPI HASA(ANGEONGEZEWA MSHAHARA, MADARAKA, HADHI YA ELIMU AU FAMILIA)???

JIFUNZENI KUKAA KIMYA ENYI KIZAZI CHA KIHEREHERE KWA KUJUA NA KUTAKA KUJUA KILA KITU SABABU NI HERI KUJIFUNZA KULIKO KUJUA KILA KITU KTK MAISHA.

UKIMYA NI BONGE LA HEKIMA WALA HAUKUSHUSHII HADHI YOYOTE KATIKA JAMII YOYOTE ILE DUNIANI.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigwa risasi sio hoja,Hoja ni kupigwa Risasi 38.Hivi ulishawah fanya imagination ya tukio lenyewe na uangalie linawezekana au lah?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nasikitika sana kila nimwonapo mfalme kanisani akijitia unyenyekevu bandia na kushiriki sakramenti takatifu, wakati ameangamiza roho nyingi zisizo na hatia, muuaji anashiriki mambo matakatifu!
 
Hizi mada ni za kupima upepo na kutia wahusika tumbo joto, naamini muda si mrefu watu watamwaga mboga na ugali pamoja.

Mkuu kuna viongozi duniani tumeshuhudia wakifungwa MAISHA kwa mauaji waliofanya/waliosababisha/waliochochea kwa zaidi ya miaka 15 - 25 iliopita.

Mfano,

Aliekua Rais Wa Egypt (Mh Hosni Mubarak), alipigwa STROKE ila wanaume walimpeleka mahakamani hivo hivo, akiwa kalala kitandani hajiwezi, wanaume waligoma kusubiri apate hata NAFUU YA AFYA YAKE. Kisha alisomewa mashitaka huku kalala taabani (baada ya muda case kuendelea ndio akapata nafuu ya kuanza kukaa kwenye WHEELCHAIR). Alijisahau sana wakati wa madaraka yake, ila leo hii anaimba MABATA MADOGO MADOGO kwa kichina rumande.

Maji hufuata mkondo wake. Tanzania sidhani kama tutashindwa kuitafuta haki hio pia kwaajili ya FAMILIA, MARAFIKI, JAMAA wa wahanga waliopotea na kuuliwa.

Acha watu WASIOJULIKANA wajidanganye na kujisahaulisha tu. Ila ipo siku watashangaa na roho zao.

# Siku baba atakapo mkana mwana, na mwana atakapo mkana mzazi.[emoji18] [emoji53] [emoji52]
 
Ulivyoandika ni kama tayari unafahamu nani alimfanyia ubaya huo. Lakini kwangu mimi naomba kufahamishwa undani wa tukio na hatua za familia zilizochukuliwa.

Naomba kufahamu kama familia ilitoa taarifa ya kupotea kwake. Kama familia ilitoa taarifa, naomba kufahamu kama inafuatilia hatma ya uchunguzi wa Polisi. Haya ni muhimu bila kujali hisia zako juu ya kutoweka kwake. Baya zaidi ni kutaka msaada wa serikali na wakati huo huo unaelekeza kidole kwa serikali. Inafanya zoezi zima kuwa ni gumu. Tukumbuke kwamba Huyo tunamfahamu hapa JF na tunadhani hiyo inatosha kulifanya taifa zima kumtafuta, lakini kuna wengi wametoweka vijijini bila sisi kufahamu.

NOTE: Ktk zozana hii nimeona maadiko yakisema mtu huyo alikuwa na wadhifa ndani ya CHADEMA, je, Viongozi wa CHADEMA wameonyesha kuhangaikia jambo hilo, au ni mbele kwa mbele hayo yamepita? CHADEMA kama chama kinasema nini juu ya hilo. Tusizozane wala kutukanana kwa siasa maana kupotea kwa mtu huyu kuna machungu kwa wazazi kuliko CHADEMA.
 
Na ukaendelea kusavaivu tu,, mambo mengine inabid ustumie akili kuyaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kuna mambo ukitumia AKILI utapata shida sana.Tuendelee kuimba jamaa alipigwa risasi 38 na kati ya hizo nyingine ilitua karibu na spinal cord.Ukijiuliza kaz ya spinal cord unaweza pata uchizi. Kiufupi sema tu jamaa yuko mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau dreva yeye hakujeruhiwa pamoja na idadi ya risasi zote wanazodai walishambuliwa nazo wakiwa pamoja kwa gari zikitokea nje,,,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…