Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

swala la kutoweka ben Saanane halijapewa uzito unaostahili hata gazeti la mwanahalisi lilipoandika juu ya Ben kuonekana kwenye vijiwe vya kahawa sikusikia chombo chochote cha ulinzi na usalama kikimhoji huyo mtu aliyesema Ben anaionekana kwenye vijiwe vya kahawa wamemfanya kama kiumbe asiye na thamani
 
Ben Saanane alitumwa na Mbowe Afrika Kusini, kumbe ilikuwa janja ya kumuuwa ili kuficha wizi wa ruzuku ya chama.

Ni kama Chacha Wangwe tu alichofanyiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuna mtu au kikundi unatetea lakini jiulize unafaidika na chochote? Usije ukawa wewe ni tools tu.
 
Ben Saanane alitumwa na Mbowe Afrika Kusini, kumbe ilikuwa janja ya kumuuwa ili kuficha wizi wa ruzuku ya chama.

Ni kama Chacha Wangwe tu alichofanyiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ungekuwa binadamu ungemwelewa mleta post toka aya ya kwanza!

Tambue anapopiga goti kumwomba Mungu kwa mambo yaliyojuu ya uwezo wa binadamu upande wa pili wazazi wa Beni, ndugu na watanzania wanalia na kumwomba Mungu kwa mambo yanayowezekana kibinadamu. Sala yao kuu "Baba umfanye Moyo wake uwe mwepezi aamuru beni apatikane akiwa hai au amekufa. Kila nafsi itaonya mauti!
 
Tutalipisa kisasi hata baada ya miaka 100 ijayo
 
Kuna rooms za Chui; Siafu; Simba; Chatu etc ; sasa Mkuu imagine unawekwa kwa room ya chatu kwa 30min tu; lah kweli kumbe Jehamam zipo hapa hapa duniani.
 
Ben Saanane alitumwa na Mbowe Afrika Kusini, kumbe ilikuwa janja ya kumuuwa ili kuficha wizi wa ruzuku ya chama.

Ni kama Chacha Wangwe tu alichofanyiwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Baada ya 2020 hutakaa upost huu utaahira wako, hivi vyombo vya dola mnavyoringia ujue vinaundwa na wanadamu wala siyo viumbe toka sayari za juu.
 
WE NI MUONGO INGEKUWA KWELI BASI HIYO INGEKUWA KARATA NZURI YA SERIKARI YETU YA CCM KUMALIZA MBOWE NA CHADEMA UMAARUFU WA KISIASA.
BY THE WAY SIKULAUMU,UNA POOR REASONING NA UMEAMUA KUCHAGUA UJINGA.
HONGERAKWA KUCHAGUA UJINGA.
Ulikuwa hujamgundua huyo Elitwege kuwa ni most bogus person ever registered at JF? huyo hata kubishana naye ni kujishushia hadhi bure! kuna usemi never argue with a ......, people might not notice the deference
 
Ujatubu dhambi unazitenda kwa sababu mwingine katenda huu ni utahaira tu. Mbona amwiigi kuunda denge.magari na mengine maana wezetu wanaunda.mlivyo vichwa mavi unaiga kuua.MAZEZETA JIFUNZENI KUIGA MEMA. Ningekuona una akili moyo kukuuma kwa kujiuliza kwann mzungu aunde ndege sisi tusiunde. Unafurahia kufa kwa Ben na kupigwa risasi lisu. sikushangai ndiyo akili ya mtu mweusi ilipogotea hapo
 
Nina kila aina ya ushahidi Mbowe amehusika

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unakaa nao wa nini, kwani ushahidi huo ni hilo wowowo lako ambalo huwezi kutengana nalo? tunazungumzia maisha ya mtu mambo ya kijinga tunaweka pembeni. Unafikiri huo ushahidi wa Mbowe kuhusika kama upo unaweza kufanya sisi tumkane Ben?
Maisha ya binadamu hayana itikadi, ndio maana ukikuta mtu anakata roho na anahitaji msaada wa kumuokoa humuulizi chama chake bali unamsaidia mwanzo mwisho
 
.Mbona siku hizi zile maiti za "wahamiaji haramu" hazipo tena? Kwanini kipindi kile ziliibuka sana zikiwa zimefungwa kwenye mifuko huku sisi wengine tukielewa kuwa kule Stakishari kulikuwa na kwata la kufa mtu likiendelea? Hadi watu wakawa wanatambaa kama nyoka? Kwanini kwanini kwanini?
rejea maiti 11 za wahamiaji haramu zilizookotwa barabarani majuzi kati- sifa za waongo na wach0chezi huwa ni kukosa kumbukumbu
 
Uko tayari kumkana Mbowe na kumfuata Ben Saanane?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeanza kuweweseka bado ngoma mbichi,
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…