Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

swala la kutoweka ben Saanane halijapewa uzito unaostahili hata gazeti la mwanahalisi lilipoandika juu ya Ben kuonekana kwenye vijiwe vya kahawa sikusikia chombo chochote cha ulinzi na usalama kikimhoji huyo mtu aliyesema Ben anaionekana kwenye vijiwe vya kahawa wamemfanya kama kiumbe asiye na thamani
 
Ben Saanane alitumwa na Mbowe Afrika Kusini, kumbe ilikuwa janja ya kumuuwa ili kuficha wizi wa ruzuku ya chama.

Ni kama Chacha Wangwe tu alichofanyiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuna mtu au kikundi unatetea lakini jiulize unafaidika na chochote? Usije ukawa wewe ni tools tu.
 
Ben Saanane alitumwa na Mbowe Afrika Kusini, kumbe ilikuwa janja ya kumuuwa ili kuficha wizi wa ruzuku ya chama.

Ni kama Chacha Wangwe tu alichofanyiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ungekuwa binadamu ungemwelewa mleta post toka aya ya kwanza!

Tambue anapopiga goti kumwomba Mungu kwa mambo yaliyojuu ya uwezo wa binadamu upande wa pili wazazi wa Beni, ndugu na watanzania wanalia na kumwomba Mungu kwa mambo yanayowezekana kibinadamu. Sala yao kuu "Baba umfanye Moyo wake uwe mwepezi aamuru beni apatikane akiwa hai au amekufa. Kila nafsi itaonya mauti!
 
Tutalipisa kisasi hata baada ya miaka 100 ijayo
 
Kuna rooms za Chui; Siafu; Simba; Chatu etc ; sasa Mkuu imagine unawekwa kwa room ya chatu kwa 30min tu; lah kweli kumbe Jehamam zipo hapa hapa duniani.
 
WE NI MUONGO INGEKUWA KWELI BASI HIYO INGEKUWA KARATA NZURI YA SERIKARI YETU YA CCM KUMALIZA MBOWE NA CHADEMA UMAARUFU WA KISIASA.
BY THE WAY SIKULAUMU,UNA POOR REASONING NA UMEAMUA KUCHAGUA UJINGA.
HONGERAKWA KUCHAGUA UJINGA.
Ulikuwa hujamgundua huyo Elitwege kuwa ni most bogus person ever registered at JF? huyo hata kubishana naye ni kujishushia hadhi bure! kuna usemi never argue with a ......, people might not notice the deference
 
Kuandika siyo tatizo ila huenda mkono wako uliokusaidia kuandika haya ukawa na kilema kama syo mkono basi kutakuwa na tatizo kwenye kokonatia!!

Kwakuwa tunapenda vitu vya uongo uongo ,,umbea, uhayawani, na masuala ya kumkandamiza mwanadam mwenzako kwa mambo ambayo nafaham nafsi inakusuta ila kwa sabab tu ya Visa vya wanadam unaweza kuongea yote Haya!!

Sina Hakika kisheria kama hata ww unaweza ama mie ninaweza kuhoji ama kutaka uhalali Wa elimu yangu!! Taasisi husika nadhani ndo zina authority hiyo nikiamni kwamba they are legalised and recognized institutions!!

You /I sina hakika kbsa kwamba you /I can question my or ur education and expecting to get a genuine answer may be according to the context of inquiry!!

Mengine haya ni kukosa tu kufikiri na kuendeleza hla tu!!!

Haya hayajaanza leo hata mataifa makubwa na yenye uwezo mkubwa kijeshi na kiusalama haya yanatokea na tusivyo na akili tunaenda ati kushtaki utafiki ni Baba zetu!!! Au kuongoza taifa la watu zaidi ya mil 50 tunalinganisha na familia zetu ambazo zinawatoto watatu lakn hata kuzi control zatushinda sembuse mamilion haya ya watu!!!!!

Mtalalamika lkn wenzenu wanatenda!!! Mtashtuka kumekucha mnaendelea kulia lia ila muda huo wenzenu watakuwa wame win!!

Heri ya mwaka mpya!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujatubu dhambi unazitenda kwa sababu mwingine katenda huu ni utahaira tu. Mbona amwiigi kuunda denge.magari na mengine maana wezetu wanaunda.mlivyo vichwa mavi unaiga kuua.MAZEZETA JIFUNZENI KUIGA MEMA. Ningekuona una akili moyo kukuuma kwa kujiuliza kwann mzungu aunde ndege sisi tusiunde. Unafurahia kufa kwa Ben na kupigwa risasi lisu. sikushangai ndiyo akili ya mtu mweusi ilipogotea hapo
 
Nina kila aina ya ushahidi Mbowe amehusika

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unakaa nao wa nini, kwani ushahidi huo ni hilo wowowo lako ambalo huwezi kutengana nalo? tunazungumzia maisha ya mtu mambo ya kijinga tunaweka pembeni. Unafikiri huo ushahidi wa Mbowe kuhusika kama upo unaweza kufanya sisi tumkane Ben?
Maisha ya binadamu hayana itikadi, ndio maana ukikuta mtu anakata roho na anahitaji msaada wa kumuokoa humuulizi chama chake bali unamsaidia mwanzo mwisho
 
Juzi niliona picha ya Rais Magufuli akimuombea mama yake mzazi ambaye amepatwa na maswahibu kama yaliyokatisha uhai wa binti yake ambaye alizikwa hivi karibuni.Nilipomuona nilijikuta nikiwaza sana!

Turudi kwenye mada. Ben Saanane mara ya mwisho kabla hajapotea alitoka kwao asubuhi kama kawaida kwenda kwenye mihangaiko ila hakurudi tena hadi leo. Siku chache baada ya kupotea namba yake ikaondolewa kwenye makundi yote ya WhatsApp naamini alikuwa akishurutishwa fanya hili...fanya hili...Siku baada ya siku hadi alipomaliza yote. Mbaya zaidi kuna ujumbe aliotuachia "Tuutafakari" ambapo alikuwa akilalamika kuwa yupo mtu mmoja alikuwa akimtumia ujumbe kila alipokuwa akiishambulia elimu ya mfalme kule kisiwani kwenye mitandao ya kijamii kuwa "mara umebakiza post tatu mara mbili" na mwisho kabisa akamwambia "Naamini sasa hutapost tena" Ujumbe zaidi aliambiwa "Baba yako atajilaumu sana kwa kukusomesha na sasa hatayafaidi matunda ya elimu yako,Ben wewe bado ni kijana mdogo sana kufa"

Ninachoamini ni kuwa dola inajua kabisa yaliyomkuta Ben. Kama sivyo basi wangeshachukua hatua stahiki. Emb fikiria watu wote waliokuwa wamekithiri kwa ukosoaji kipindi kile walifanywa nini? Tundu Lissu mbunge na mwanasiasa maarufu sana alishambuliwa kwa risasi nyingi mchana kweupe tena mbele ya makazi yenye ulinzi mkali na hakuna chochote mpaka leo. Njoo kwa kuke kwa ofisi za Fatuma Karume hadi bomu likarushwa kwenye ofisi zao. Kina Roma walivyopigwa kwenye majumba yasiyojulikana! Itakuwaje kwa Ben aliyekuwa naye amekithiri kwa ukosoaji?

Mimi naweza kufikiria haya na huenda moja wapo likawa sahihi
1. Huenda Ben kapigwa ban labda kwa kipindi fulani....Ila hapana, siku wakimtoa huko je? Si wataaibika?
2. Huenda walidhamiria kumpiga kisha wamuachie ila wakazidisha kipigo na ikawa bahati mbaya jumla!
3. Au moja kwa moja walimmaliza.
4. Au labda walimpa ofa ya kwenda nchi za watu kukaa tu huko ili asiwe tena anashambulia....Thubutuuu yani mfalme umkosoe, uwe mfuasi wa "mabeberu" halafu akupeleke kula bata?

Wazo namba 2 linanishawishi nikubaliane nalo zaidi kwakuwa naamini hata kina Roma Mkatoliki na wenzake walipokuwa wanapigwa kama ingetokea bahati mbaya iwe jumla basi nao wasingeonekana mpaka leo.Linanishawishi nikubaliane nalo kwakuwa wote waliokosoa walielekezwa kwenye mfumo huu wa kupotezwa ila baadhi yao Mola akawanusuru!

Kuna kile kipindi maiti zilikuwa zinaokotwa kiholela sana kule baharini mara mto Ruvu huku zikiwa zimefungwa kwenye viroba. Hiki ndicho kipindi kile cha kukamatwa watu kule MKIRU na kwenda kuona joto la motoni kule Stakishari! hiki ndicho kipindi kilichokuwa muda mfupi tu tangia Ben atoweke. Ndicho kipindi alichopotea Azory.........Mbona siku hizi zile maiti za "wahamiaji haramu" hazipo tena? Kwanini kipindi kile ziliibuka sana zikiwa zimefungwa kwenye mifuko huku sisi wengine tukielewa kuwa kule Stakishari kulikuwa na kwata la kufa mtu likiendelea? Hadi watu wakawa wanatambaa kama nyoka? Kwanini kwanini kwanini?

Ukweli wa haya naamini kuwa hautajulikana kama tutaujenga "mfumo mfalme wa kisiwa" kama tulivyotahadharishwa humu Jf......"Mfumo mfalme huyu" ni hatari kwa afya yetu hivyo tuchukue tahadhari mapema sana.
.Mbona siku hizi zile maiti za "wahamiaji haramu" hazipo tena? Kwanini kipindi kile ziliibuka sana zikiwa zimefungwa kwenye mifuko huku sisi wengine tukielewa kuwa kule Stakishari kulikuwa na kwata la kufa mtu likiendelea? Hadi watu wakawa wanatambaa kama nyoka? Kwanini kwanini kwanini?
rejea maiti 11 za wahamiaji haramu zilizookotwa barabarani majuzi kati- sifa za waongo na wach0chezi huwa ni kukosa kumbukumbu
 
Sasa unakaa nao wa nini, kwani ushahidi huo ni hilo wowowo lako ambalo huwezi kutengana nalo? tunazungumzia maisha ya mtu mambo ya kijinga tunaweka pembeni. Unafikiri huo ushahidi wa Mbowe kuhusika kama upo unaweza kufanya sisi tumkane Ben?
Maisha ya binadamu hayana itikadi, ndio maana ukikuta mtu anakata roho na anahitaji msaada wa kumuokoa humuulizi chama chake bali unamsaidia mwanzo mwisho
Uko tayari kumkana Mbowe na kumfuata Ben Saanane?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeanza kuweweseka bado ngoma mbichi,
Mkuu umejaribu kuhoji credibility ya Hiyo maada?Au kisa kimeandikwa unachotaka kusikia?Habar imeungwa ungwa na story za akina Roma,Lisu mara Arzory mara cocobeach imradi tu desa lipatikane. Ukifuatilia matukio yote aliyotaja humo unaona ni matukio yaliyojaa mikanganyiko.Hivi Roma alitekwa na nani na alifanya nini kiasi atekwe?Huko anakodai kupigwa hivi anajua mtu aliyetekwa na kupigwa huwa ktk mazingira gani?Walitekwa akina Ulimboka au kibanda Ukiangalia haya matukio unaona kweli hawa jamaa walitekwa na sababu za kutekwa zina mashiko.Hivi Roma alitekwa kwa Lipi?Asitekwe Ney wa mitego atekwe Roma?

Mtu analeta tukio la lisu kujenga hoja za Ben,Anakwambia Risasi 38.Hivi kwanini hatutaki kuumiza akili hata kidogo?Risasi 38 tunazijua au tunazisikia tu?Hili tukio la Lisu ni kwamba limevunja record ya dunia sasa na kwa ujumla ni kwamba ni binadamu pekee ambaye bado yuko hai na kila mfuko wake wa mwili uko sawa. Ukihoji inawezekanaje upigwe risasi 38 na bado uwe hai unaitwa buku 7 mara hijitambui nk.Lkn kwa tukio la Lisu ukisema utengeneze movie,ni wazi utapata movie ya kipumbavu haijawah tokea.

Huyo Ben kwamba hana ndugu au wazaz wenye uchungu sana kuliko wafuasi wa chadema?Mbona hamtaki kuhoji nguvu inayotumika na wazaz kuhusu mtoto wao kuwa ni ndogo sana?Ushawah potelewa na ndugu wewe?tena wa damu?Vipi reaction yake?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom