Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

Umenikumbusha mkasa wa Meya wa ubungo namna watu fulani wa hapo Ufipa walivyotaka kumtenda!
 
Hata wasiojulikana wa yayha jamehi Baro kawasukuma ndani wote wanajibu historia,huwezi ikimbia historia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uandishi wako tu, unaonyesha kiwango chako cha elimu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mawazo ya kitumwa kabisa haya.. Wewe ni mtumwa.
 
Nilikua mmoja wa watu walio pendezwa (like) post au jumbe za Ben Rabiu wa saanane huko Facebook. Hakika kijana alitiririka kwenye ukosoaji hasa ule uliohusu elimu ya juu ya bwana mkubwa.
Japokua nili like zile post, moyoni nilisikita juu ya kile kitachompata ben, na kweli baada ya mda si mrefu yalitokea yale ambayo wengi tuliyahisi.

Naionea huruma sana familia ya mzee saanane, najua uchungu walionao hakuna mwenye uchungu kama walionao wao. Ben alishangiliwa na weng Facebook lakini huko aliko analia peke yake. Chama alichokipigania kipo na ruzuku mwenyekiti anasaini.

Makamanda mtandaoni still wapo, wanasogeza maisha kimtindo kupitia chama. Ben alitumika tu.....
Kuna dogo mwingine anakuja kwa kasi sana anajiita Mdude.... kila nikiona picha yake mitandaoni natamani nimuambie kitu, siasa za bongo ni ngumu sana



Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaumwa kwani yakitokea ndio yasisemwe,nadhani haya yanapaswa kumtokea mzazi mwenzio au mtu umpendae sana.Binaadamu ataendelea kuwa binaadam na utu utabaki kuwa utu.SOTE tutakufa mazee.
 
Mkuu watu wala hawaenyeshwi stakishari,, ukiambiwa wala hutoamini,, na uwezi jua,, ila duniani kila nch huwa na vikosi kazi maalum kwajili y'a mambo kama hayo,,
Hakuna serikali duniani ambayo haifanyi hayo,, japo Kweli inauma, ila ndio dunia ilivyo,, siumeona nch ya kiislamu ilivyomfanya aliekuwa anamchafua MBs.

Mungu kila mtu amempangia atakufa kwa mtindo upi, suala là Ben ipo siku kila kitu kitakuwa wazi,, Mungu atafichua kila kitu,

Ila marehemu nae alikuwa n'a ujasiri,, kumdhalilisha mkuu wa kaya juu ya elimu yake ,na alimshikia bango kweli,, haikuwa poa, aswa kwa nchi zetu za africa,, .
 
Ni hatari,, africa viongoz hawataki wakosolewe,, utapotea familia yako ibakie na upweke bila ht kuona kaburi lako,, Ben alikosea kumshambuliaa Ngosha kiasi kile,japo Kweli hata sisi wengine anatukera lakini hatuvuki mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…