Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

Hebu tuanzie hapa: Ben Saanane alitoka kwao saa mbili asubuhi ila hakurudi mpaka leo. Yupo hai? Kuna huu ujumbe aliotuambia

Yani huko bavicha mtu akija na desa lolote hasi kwa serikali mnaliamini. Reasoning huko ni ZERO.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi mkuu mimi ni mkulima halisi nipo kijijini kwetu niko huku baada yakukosa ajira dar. Sipo kwenye chama chochote cha siasa. Ila nimepima hoja za vijana wa Lumumba wengi ni mazuzu posts zao nyingi ni utumbo na hazina mshiko. Wenzao posts zao zina mvuto na za kisomi. Hivyo mkuu ukiandika uwongo wa kipuuzi sitaacha kukuambia. Karibu kijijini mkuu tulime, nitakugaia ekari hata tano.
 
Mimi mkuu ni mkulima halisi nipo kijijini kwetu niko huku baada yakukosa ajira dar. Sipo kwenye chama chochote cha siasa. Ila nimepima hoja za vijana wa Lumumba wengi ni mazuzu posts zao nyingi ni utumbo na hazina mshiko. Wenzao posts zao zina mvuto na za kisomi. Hivyo mkuu ukiandika uwongo wa kipuuzi sitaacha kukuambia. Karibu kijijini mkuu tulime, nitakupigia ekari hata tano.
Endelea kulima mkuu.Kama umesoma hadi University na umeshindwa kuhoji inawezekanaje risasi 38 mtu apone,Ni wazi kukosa kwako ajira ni halali.Umeshindwa kuhoji kama lisu toka Dar alikua anafuatiliwa kwanini asiende polisi na yy akaenda kwenye social media?Kama Anatoka bungeni a anaona wanamfuata walewale na ye anaendelea na safari tu,Bado kwa hili hupati swali basi ni halali kuendelea kukosa ajira.Search BBC uone mahojiano yake, alipigwa Swali na mwandishi akabaki anazunguka zunguka tu.Shida yenu huko ufipa ni mwiko kuhoji jambo lolote linalomhusu lisu au Mbowe.kwamba hao ndio watakatifu wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matundu 38?Hivi wewe ushawah kaa na kufanya imagination ya tukio lenyewe?Au humo kichwani no imagination skills ya kitu chochote unachoambiwa?Ngoja nipime uelewa wako,ebu njoo na maelezo kidogo kuonesha inawezekana siraha ya kivita ikaishia kutoboa gari na kumparasa lisu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu silaha ya kivita sina hakika nalo ila mimi nain
Hiyo ilikuwa na warning ya patron wetu tulipokuwa tunakua, he's been there probably done it; kwa hiyo akikwambia you know he's knows what he's talking about.

Point kubwa ni hii, kupambana na mamlaka; ukiwa uko right au wrong inakuja na risks; na hiyo ni dunia nzima. Kwa hiyo ujipange, haina tofauti na Russian Roulette. Check interview ya former Head of ISI Pakistan Head to Head with ISI - Head.

Statecraft sio kitu ya kuchezea wakati mwingine, na ukichezea ujue risk zake.
Thank you mkuu.
 
Mkuu hujasikia viongozi wa chadems wakiomba ruhusa kwa wachunguzi wa nnje kuja kuisaidia kufanya uchaguzi lakini wamekataliwa na serekali sababu jeshi letu la polisi lina uwezo mkubwa wa kuchunguza, hivyo hadi leo wanasubiri taarifa ya huo uchunguzi. Kumbuka mkuu huwezi kuwapangia polisi lini wakupe taarifa.
Ndo maana nasema nchi huongozwa na wenye uelewa, walio wengi tunatakiwa kufuata tu! CHADEMA wanaposema wanataka wachunguzi wa nje wanategemea kukubaliwa? Gharama hiyo nani alipe? je, Huyo aliyepotea ni national treasure kiasi cha kukubali gharama kama hizo? Kenya walifanya ktk mauaji ya Ouko, aliyekuwa waziri ili kujikosha lakini ripoti ilipatikana kwa nani? Upende usipende, kuna watu ambao serikali iko tayari kuingia gharama na kuna watu tunapewa bei ndogo. Hiyo ni kote duniani.
Kama serikali ikikubali maoni ya CHADEMA uchunguzi ukifanyika na kuhusisha serikali, wataiona hiyo ripoti maana anayewaleta siyo CHADEMA ni serikali.
 
Endelea kulima mkuu.Kama umesoma hadi University na umeshindwa kuhoji inawezekanaje risasi 38 mtu apone,Ni wazi kukosa kwako ajira ni halali.Umeshindwa kuhoji kama lisu toka Dar alikua anafuatiliwa kwanini asiende polisi na yy akaenda kwenye social media?Kama Anatoka bungeni a anaona wanamfuata walewale na ye anaendelea na safari tu,Bado kwa hili hupati swali basi ni halali kuendelea kukosa ajira.Search BBC uone mahojiano yake, alipigwa Swali na mwandishi akabaki anazunguka zunguka tu.Shida yenu huko ufipa ni mwiko kuhoji jambo lolote linalomhusu lisu au Mbowe.kwamba hao ndio watakatifu wenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kutudharau sisi wakulima ni hulka yenu kuwa hatuna akili ndio maana tunalima. Lakini maharage tunayo lima mnakula mpaka mnavimbiwa hayana kasoro. Mkuu utetezi wako hauna mashiko Nape alinyooshewa bastola mbele ya polisi, Picha ya mhusika ilionekana wazi kwenye media nyingi na hakuchukuliwa hatua zozote.
 
Kwani ni kosa Nape kunyoshewa bastola?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nasema nchi huongozwa na wenye uelewa, walio wengi tunatakiwa kufuata tu! CHADEMA wanaposema wanataka wachunguzi wa nje wanategemea kukubaliwa? Gharama hiyo nani alipe? je, Huyo aliyepotea ni national treasure kiasi cha kukubali gharama kama hizo? Kenya walifanya ktk mauaji ya Ouko, aliyekuwa waziri ili kujikosha lakini ripoti ilipatikana kwa nani? Upende usipende, kuna watu ambao serikali iko tayari kuingia gharama na kuna watu tunapewa bei ndogo. Hiyo ni kote duniani.
Kama serikali ikikubali maoni ya CHADEMA uchunguzi ukifanyika na kuhusisha serikali, wataiona hiyo ripoti maana anayewaleta siyo CHADEMA ni serikali.

Mkuu sijui wewe ni wa nchi ipi lakini kwa mujibu wa katiba yetu uhai wa raia wote unadhamani sawa. Hakuna mwenye uhai wa thamani kuliko mwingine. Kuhusuu wachunguzi kutoka nnje serekali hakuambiwa igharamie walichoombwa ni kutoa kibali. Mheshimiwa kuhusu Lisu si anatibiwa kwa gharama isiyohusisha serekali. Pamoja na serekali kupewa ripoti lakini walio waita wangepewa yao pia.
 
Mkuu, ben saanane hakuondolewa whatsup kwa shinikizo, ila ni utaratibu wa whatsup ikikaa miezi sita bila kutumika, unaleft automatically. Ndicho kilitokea kwa Ben

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa Appeal to ignorance Fallacy. Kutojua idadi kamili ya risasi alizopigwa kamwe hauwez kuwa mwanya kwa mtu yyt kujitajia idadi ya risasi anazojisikia bila kuzingatia facts.Nyinyi mnafanya Fallacy(Appeal to Authority)Kisa Mbowe na lisu wamesema na hao ndio think tank wenu so hakuna kuhoji.Tokeni nje ya box muone ambavyo sio rahisi kupigwa Risasi 38 na ukabaki salama. Wangesema tatu au mbili au tano sawa.Lkn kuwaaminisha watu risasi 38 tena za kivita huu ni UPUMBAVU. Kwa navyojua hili tukio lingekuwa halisi tayari lingeingizwa kwenye records za Dunia. NARUDIA SIO RAHISI KUPIGWA RISASI 38 NA UBAKI MZIMA.HAKUNA KITU KAMA HICHO DUNIANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, ili tuondokane na ‘UPUMBAVU’ huo, tuambie idadi ya risasi unazoona zingemtosha, alipigwa ngapi?
 
Mkuu tufanye cctv na wale wote mnaosema wamehusika ni kweli.Tuje kwenye facts inawezekanaje upigwe risasi 38 na zingine kwenye uti wa mgongo na ukabaki salama?Hivi kwanza unajua kazi za uti wa mgongo?Ushwah fanya imagination ya umwagaji wa risasi 38?

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa ya polisi inasema risasi ngapi?
 
Back
Top Bottom