ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
.itoshe tu kusema wewe huna akili kabisa periodmtu anakwambia atakupatia silaha ili upigane mwenyewe na upiganie nyumbani kwako, silaha ambazo ni dhaifu kuliko za jambazi aliyekuvamia, anayekupa silaha nyumbani kwake kuko salama ila kwako nyumba inazidi kumongónyoka...