Hebu tuiangalie nchi ya Ukraine katika kurunzi ya kiuchumi

mtu anakwambia atakupatia silaha ili upigane mwenyewe na upiganie nyumbani kwako, silaha ambazo ni dhaifu kuliko za jambazi aliyekuvamia, anayekupa silaha nyumbani kwake kuko salama ila kwako nyumba inazidi kumongónyoka...
.itoshe tu kusema wewe huna akili kabisa period
 
Acha taarabu una jua kuzungukwa pote wewe.russia wame target sehemu chache tu View attachment 2132560
Kwa geografia ya Ukraine sio rahisi kuizunguka na kuiteka kwa pamoja ndio maana Russia wame target sehemu muhimu na za karibu,Kyiv ndio imezungukwa sana,maana wameingi in four fronts.
Ila ukija JF mtu anasema imezungukwa pande zote 😀 😀 😀
 
Wanasema Jamaa waligundua gas nyingi sana. Na nyingi ipo katika bahari inayozunguka Crimea. Wakayapa makampuni ya magharibi, Shell, Exxon nk mikataba ya kuchimba. Hili lingeweza kufuta kabisa utegemezi wa nchi za Ulaya juu ya gas ya Urusi. Ni suala nyeti kwa usalama wa Urusi. Hii ndiyo sababu hasa ya Urusi kuichukua Crimea. Kufanya hivyo akawa amechukua asilimia 80 ya maeneo yote yenye gas ya Ukraine.

Pia baadhi ya maeneo yenye shale oil yanapatikana maeneo ya Donbass. Huko nako kukijitenga Ukraine itapoteza sehemu ya hazina yake ya oil. Ishu ya kiuchumi inaonekana imechangia pakubwa sana huu mgogoro.
 
Putin keshasema kua Ukraine hawezi kujiunga na bara la ulaya
 
U
 
Zelensky yuko kazini....kibaraka anapambania maslahi ya bwana zake NATO....wananchi wanaweza kumpa heshima ya URAIS kumbe ni KIKARAGOSI cha watu.....

#Siempre JMT🙏

Kibaraka kwa maoni yako. Ulitaka aisujudie Urusi ndio aonekane wa maana. Mbona Yanukovich kibaraka wa Urusi alikimbizwa na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…