Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Habari.
Kwa wale mliokimbia Civics, blended family ni aina ya familia ambapo mwanaume ambaye ana watoto wake aliopata na mwanamke mwingine anaingia katika ndoa na mwanamke ambaye na yeye anakuja na watoto wake aliopata na mwanaume mwingine. Kisha hawa wawili wanapata watoto wao pamoja na kuunda familia ya pamoja yaani watoto wote kuwalea as if ni wa tumbo moja.
Hii si hali ngeni sana especially hapa Tanzania ambapo kuna watu wengi sana wanaoanza familia kwa mtindo huu kutokana na changamoto mbali mbali kama mifarakano ya ndoa inayopelekea utengano, na pia kufiwa na mwenza.
Mzizi wa huu mjadala wa leo ni issue ya malezi ya watoto hawa wanaokuja na wazazi hawa wawili kutoka walipotoka.
Nimepata haja ya kuandika uzi huu baada ya kukumbuka kisa kimoja kilichotokea maeneo ya mkoani Kilimanjaro huko, uchaggani cha wazazi wawili waliokuja pamoja kila m'moja akiwa na watoto wake, mwanaume watoto wake wanne na mwanamke watatu. Kisha wawili hawa wakapata watoto wao wa damu ya pamoja wawili. Ambaye wakwanza ni wa kike wa pili ambaye ndie wa mwisho akiwa ni wa kiume.
Wa kike alizaliwa 1997 na wa kiume alizaliwa 2003. Kisha baadae hawa wazazi walifariki, alianza mzee ghafla kisha akafuata mama baadae. Hawa watoto wa upande wa mama ndie alikuwa mkubwa kwa wote na ni wa kike,kisha wakike tena na mwisho ni wa kiume. Kwa mzee walikuwa ni wakwanza wa kiume kisha wa kike halafu wa kiume.
Sasa balaa lilianza ni yule dada mkubwa alianza mahusiano na huyu mtoto wa mzee wa kwanza na walikuwa wakipeana mchezo bila kusita.
According to muhusika, michenzo ilianza muda sana tokea wakiwa wadogo miaka hiyo wanaishi wakilala chumba kimoja wakiwa wadogo na hadi baadae baba yao alipopata uwezo na kujenga nyumba nzuri at least wakaweza kuwa na vyumba separate.
So, from then onwards hadi currently, ndugu za huyu binti bado wanaingiliana kingono isivyo kawaida kijamii. As we speak huyu binti she's going through a hell of a depression na inampa.
Wakati mgumu sana kuwa na amani na anashindwa hata kuingia katika mahusiano sababu anawaza what if mtu atakae kutana nae akijua hiyo siri ambayo anadai kuna siku walipokwenda kijijini kwa wazee msimu wa sikukuu, kuna mojawapo wa ndugu alishitukia hizi vitu kati ya wale wa watoto wanaofuatia wale wakubwa nao wakifanya kushikana na kupapasana kama wapenzi. Na alipo tafiti aligundua wamejifunza kwa wakubwa zao.
Pia anahofia sana itakuwaje akiolewa then itaokee the same thing apate watoto na mtu kisha ndoa ifeli halafu akutane na mtu mwingine mwenye watoto kisha the same story ijirudie na kwake.
Sasa amebakia katika hali hiyo ya msongo wa mawazo ambao unampa wakati mgumu sana. Hivi sasa hao ndugu zake wanaishi kila mtu na mji wake ila bado kuna movements za siri zinaendelea. Yeye anaishi na bibi yao mzaa baba. Ingawa kwa umri wake sasa anaona anataka kuelekea kujitegemea so anapata wakati mgumu sana eneo hilo kwa maana anaona kama yupo cursed kuwa katika hiyo familia yake.
Miongoni mwa changamoto za kisasa za blended family kwa miaka hii ambayo watu wanakuwa conscious na ukaribu wao kidamu kiasi kwamba wakijua sasa inakuwa mtihani.
Kama mtu anaweza mla binamu yake, anaweza mkula shemeji yake yaani mke wa kaka yake au mume wa dada yake, au anaweza tafuna mtoto wa ndugu yake, sikustaajabu kuona hili ingawa nilishangaa maana dunia imekuwa na mambo mengi ya ajabu lately.