Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
- Thread starter
- #21
Mama alikuwa busy na biashara wakati baba pia yupo busy na kazi na biashara.Vitu vingine ni sisi wazazi tunasababisha vitokee..sasa mama kama mama alikua wap mpaka au unakuwa wap mama mpaka mambo kama haya yanatokea?
!na kwa hali ya sasa hvi wazazi tusipokaa chini na watoto wetu na kuwaeleza bila kuwaficha kila kitu kuhusu mahusiano mapenzi yan kila kitu walah itatugarimu sana
Kuna umri mtoto akifika mzazi unatakiwa kuanza kucheza na mind yake..
So watoto walikuwa na muda mwingi wa kuspend pamoja....
Sasa how can u stop the chemistry between two kids ambao sio blood related?!
Sent using Jamii Forums mobile app