mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Picha ya kwanza ni:
Na picha ya pili ni:
Kwenye picha ya kwanza Rais Macron wa ufaransa akiwa anakaribishwa na mwenyeji wake rais Zelensky wa Ukraine. Naona kama Zelensky amenuna, ni kama ana bifu fulani!. Rais Macron naona ni kama analazimisha tabasamu angalau ajaribu kumwambukiza mwenyeji wake tabasamu lakini bila mafanikio. Kwenye picha ya pili ni wazirio mkuu wa Uingereza akimpet-pet mwenyeji wake Zelensky wa Ukkraine. Hapa naona Zelensky uso umekunjuka na tabasamu linaonekana kwa mbali!! Hawa inaelekea ni maswaiba dam-dam!!. Karibuni tuzitafsiri hizi picha mbili.