Hebu tujaribu kusoma ujumbe uliojificha kwenye picha hizi mbili

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Picha ya kwanza ni:



Na picha ya pili ni:



Kwenye picha ya kwanza Rais Macron wa ufaransa akiwa anakaribishwa na mwenyeji wake rais Zelensky wa Ukraine. Naona kama Zelensky amenuna, ni kama ana bifu fulani!. Rais Macron naona ni kama analazimisha tabasamu angalau ajaribu kumwambukiza mwenyeji wake tabasamu lakini bila mafanikio. Kwenye picha ya pili ni wazirio mkuu wa Uingereza akimpet-pet mwenyeji wake Zelensky wa Ukkraine. Hapa naona Zelensky uso umekunjuka na tabasamu linaonekana kwa mbali!! Hawa inaelekea ni maswaiba dam-dam!!. Karibuni tuzitafsiri hizi picha mbili.
 
Rais wa Ukreine moyo wake umeashalainika kukubali matakwa ya Putin lakini NATO wanataka akaze.
 
Kwenye mazungumzo yyt uwezi kuwa unatabasamu au unacheka muda wote wa mazungumzo kama iyo pc imepigwa akiwa kwenye moment of sorrow? Any way ni mtazamo wako sio mbaya
 
Sasa hivi pro Russia mnaokoteza habari, kimsingi hamna tena cha kuandika, very sad.

Poleni sana najua mnapitia maumivu makali moyoni, Putin kawaangusha.
 
Alafu ujifunze kuandika heading kwa herufi ndogo, herufi kubwa unatukwaza wasomaji.
 
Kuna picha nyingine hapa
 
Waziri Mkuu wa Uingereza naye anatumia Counter Book Quire 4 kama watoto wetu wa Sekondari!! Hahahahahaha......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…