Hebu tujiulize: Kuna mda wa umri na mafanikio yanaweza ya kapishana au kukosekana kabisa

Hebu tujiulize: Kuna mda wa umri na mafanikio yanaweza ya kapishana au kukosekana kabisa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hakuna kitu kina rahaa pale ndoto zako zimetimia kwa wakati sahihi na muda wa umri wako.

Leo unakuta mwalimu au mtumishi anastaafu ndio anamiliki ndoto yake ya kununua gari wakati umri aliobakiza ni bonus za mungu.

Kuna wale wanakuja kupata mafanikio wakiwa hawana tena uwezo wa kuyatumia maana umri wao ushapishana na mafanikio.

Baya zaidi mafanikio yanakuja na kisukari kimegonga hodi na kupiga mikasi uwezi.
 
Yote haya yamesababiswa na ccm kutokitimiza ndoto yake kwa wakati.Mfano unasoma shule ya msingi kwa kiswahili na ukifika upili(sekondary)unaanza lugha nyingine hapo tayari amevurugwa malengo yako.Au umeanzisha biashara fulani ukianza tu kuinuka unakutana na kodi lukuki zinakuwa zinabadilika jina tu.Matokeo yake inakuchukua muda mrefu kuyafikia malengo sababu ya vizingiti vingi vilivyowekwa na CCM
 
Mafanikio yanahitaji muda mrefu kama miaka 10 nakuendelea vijana wanakuja kushituka wana miaka 30 anapambana anakuja kupata mafanikio miaka 45 ila sio wote vijana wengine wanamafanikio makubwa tu kiroho, afya, uchumi mpaka mahusiano
 
Tupumzisheni basii, hizi mada zinaongeza stress hormones kwenye damu
Kasome za CCM.Au we mwanga nini kaungane na Lucas Mwashambwa
FB_IMG_1784124666375.jpg
 
Back
Top Bottom