Tufanyeje?Vijana wana nguvu lakini hawana pesa, wazee wana pesa lakini hawana nguvu ya kuzitumia. Nature inatuchezea mchezo mchafu sana.
Tusisahau kuishi tukiwa kwenye hiyo process ya kutafuta hayo mafanikio.Tufanyeje?
Kasome za CCM.Au we mwanga nini kaungane na Lucas MwashambwaTupumzisheni basii, hizi mada zinaongeza stress hormones kwenye damu
👀Ndoto yako walisi kuisifia CCM ndio ajira yako
... sio muda mrefu wewe utakuwa CCM na mimi utaniita CHADEMA!Ndoto yako walisi kuisifia CCM ndio ajira yako