Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Hilo kopo lenye mistari ya kijan ni nini kipo ndani? [emoji41]
 
Umenikumbusha uzi mmoja ukiwahi kuletwa humu kuwa ukikuta ndizi na tango kwenye friji ya mwanamke ambae hajaolewa chonde chonde usitumie..
Hahahahah...mkuu umetisha. Ila matango wanawekaga kwenye macho namna hii...

 
Nimeona banana wine hapo chini mwisho!usinywe banana sio nzuri kwa afya yako.afu inachafua hali ya hewa sana ukiingia toi
Umeifananisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…