Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Hebu tuone kwenye friji lako kuna nini!

Naona juice za rozela za kutosha mkuu... unaupungufu wa damu nini?? Unatumia flavour ya aina ipi.. vanila au vinto?? I like.
Ni juice mix ya tikiti maji, strawberries na tangawizi...kajuice flani amazing
 
Yaani mpaka nafika page ya tano mafriji niliyoyaona ni mawili tu ya mtoa mada na member mmoja tu, jamani mmeambiwa muweke picha ya mafriji yenu mbona hatuyaoni wakuu!

Mafriji ya awamu hii ya tano ni matupu kwanza hayawashwi kila wakati [emoji12][emoji12][emoji12]
halafu ujue kuna baridi sana tunatumia zaidi vitu vya moto.[emoji477]️[emoji477]️

Subiri labda msimu ujao wa joto tutaweka picha za ndani ya friji kwa sasa labda tuweke picha za friji kwa muonekano wa nje [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
HUU UZI HAKIKA NIWAKUUMIZANA....YAN MNAVYOZIDI KUTUPIA MTANIFANYA NAMIMI NIENDE KWA JIRAN NIKAPIGE PICHA FRIJI LAKE JAPO CJUI NTAANZAJE CJUI ATANIONA MWANGA NA VILE ANAVYO NIHISIGI
 
HUU UZI HAKIKA NIWAKUUMIZANA....YAN MNAVYOZIDI KUTUPIA MTANIFANYA NAMIMI NIENDE KWA JIRAN NIKAPIGE PICHA FRIJI LAKE JAPO CJUI NTAANZAJE CJUI ATANIONA MWANGA NA VILE ANAVYO NIHISIGI
Mwambie unataka kununua kama lake; wabongo tunavyopenda sifa atakuruhusu kwa moyo mkunjufu...
 
Kwa haya mafriji labda niwe mke wa mwarabu naamka asubuhi kupika tu hadi jioni ila kwa maisha haya ya home kurudi jioni hivyo vitu vitabaki like that for ages!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom