kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Mlandizi stand kuna ghorofa siku hizi.Ukiwa mlandizi unayaona maghorofa ya wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlandizi stand kuna ghorofa siku hizi.Ukiwa mlandizi unayaona maghorofa ya wapi ?
Acha bwana, na ile nanii je!!?Hahahahaaa. Langu ina mboga tu wallah. Pombe nayokunywa hakai kwa fridge
Sema kwakoCha maana hapo ni jameson tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]mkuu yaani ku post friji yangu kwenye group whatsapp ushachukuwa picha na kuja anzishia mada
Jamaaaani mbona unanitoa kirohoooo hiviii mtoto wa mwanamke mwenzako.Hebu nishauri nifannyeje?Hahahaha...yanachangamsha sana
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji5] [emoji5]Ukiwa mlandizi unayaona maghorofa ya wapi ?
alafu hio dp yako naomba uje pm mara moja nimeuza kiwanja jana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nasubiri uweke lakwakoWewe ni Vegetarian? Sijaona nyama humo aisee! [emoji1]
Tulia kwanza mkuu uingie ubungo!!Mkuu nitajie at least three effects of banana wine
Friji ninalo basi..we unadhani kila mtu Jf ana hilo friji??Tuambie lako lina nini kwanza! Ujue kuna vitu vingine sio hata vya kuweka frijini unakuta mtu miaka nenda rudi hajui
Nini hiyo?? [emoji23]acha bwana, na ile nanii je!!?