Asante sanaHapo kwenye Water Melon nashauri uwe unaliweka kwenye mfuko wa nailoni ili lisiharibike kuna mifuko flani hivi ya nailon transparent maranyingi wanatumiaga kufunikia matunda. humo ukiliweka lina kaa hata siku 2--3 likiwa na utamu 😉😛 wake og. mimi huwa nafanya hivi.. sema naona simu imegoma kupiga picha Friji langu teh teh
inaitwa monster energy,mshindani wa redbull.sema tokea nimerudi bongo sijakutana nayo,sjui sababu nakaaa uswazi.Hilo kopo lenye mistari ya kijan ni nini kipo ndani? [emoji41]
Naomba nije kuonja apoinaitwa monster energy,mshindani wa redbull.sema tokea nimerudi bongo sijakutana nayo,sjui sababu nakaaa uswazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una id 2?inaitwa monster energy,mshindani wa redbull.sema tokea nimerudi bongo sijakutana nayo,sjui sababu nakaaa uswazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ongea na aliyeweka picha mkuu sio mie,kwangu kuna apple cider vinegar tu na ice tea
hyo mifuko iko tofaut na hii tunayotumia mtaani?,,mm nmuhanga huwa nikiweka matunda kwny kafriji yanalojokaHapo kwenye Water Melon nashauri uwe unaliweka kwenye mfuko wa nailoni ili lisiharibike kuna mifuko flani hivi ya nailon transparent maranyingi wanatumiaga kufunikia matunda. humo ukiliweka lina kaa hata siku 2--3 likiwa na utamu 😉😛 wake og. mimi huwa nafanya hivi.. sema naona simu imegoma kupiga picha Friji langu teh teh
nina moja tu sema nimeona nikusaidie kukupa jibu,labda uliyemuuliza hakuona swali lako.
Na mimi nilimuuliza mtoa mada sio wewe, na nilikua na maana yangu kumuuliza hivyo.ongea na aliyeweka picha mkuu sio mie,kwangu kuna apple cider vinegar tu na ice tea
Sent using Jamii Forums mobile app
Naikijua sana hicho kinywaji, mi nilimuuliza kwa mtego tu ndio maana nilimtag yeyenina moja tu sema nimeona nikusaidie kukupa jibu,labda uliyemuuliza hakuona swali lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap mkuu ukikosa mfuko kama huu weka hata kwenye mfuko mkubwa na ulifunge vema, mantiki hapa ni kuzuia hewa isiingie japo kwa kiwango fulani. ukienda kariakoo/soko dogo {lile la nje} kwa pembeni kuna maduka ya vifaa vya ndani mbali mbali maranyingi wanaouza ni waarabu au wahindi hapo ulizia mifuko ya kuhifadhia matunda watakupa.. yaani iko poa sana na hata ukimaliza kutumia hutupi unauosha na kuuanika kwa ajili ya matumizi ya wakati mwingine...hyo mifuko iko tofaut na hii tunayotumia mtaani?,,mm nmuhanga huwa nikiweka matunda kwny kafriji yanalojoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachukia kuweka ndizi frijinidah......
hahah asa mkuu naona umeamua kutuumbua wote mie na mleta mada.unajua wengi wanasahau picha wanazoweka humu zinakuja na tag,na hawajui picha ya kupiga na kamera ya simu yako tag yake ni tafauti na picha uliyodownload,ama kuscreenshot.Naikijua sana hicho kinywaji, mi nilimuuliza kwa mtego tu ndio maana nilimtag yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Friji la jirani hiloMkuu kutoka kulia Tomato Ketchup, Maziwa, Vinegar, Vanilla Syrup na Maji ya Ulaya[emoji1]
Una kiu nini?
Jina nimesahau ila imepakiwa kama foilhyo mifuko iko tofaut na hii tunayotumia mtaani?,,mm nmuhanga huwa nikiweka matunda kwny kafriji yanalojoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa, kwelihahah asa mkuu naona umeamua kutuumbua wote mie na mleta mada.unajua wengi wanasahau picha wanazoweka humu zinakuja na tag,na hawajui picha ya kupiga na kamera ya simu yako tag yake ni tafauti na picha uliyodownload,ama kuscreenshot.
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante sana mkuu nliteseka kwa mda mrefu,,isitoshe me ni bachela vitu vikiwa ving kwenye friji simaliz kwa wakat vinaharibikaYap mkuu ukikosa mfuko kama huu weka hata kwenye mfuko mkubwa na ulifunge vema, mantiki hapa ni kuzuia hewa isiingie japo kwa kiwango fulani. ukienda kariakoo/soko dogo {lile la nje} kwa pembeni kuna maduka ya vifaa vya ndani mbali mbali maranyingi wanaouza ni waarabu au wahindi hapo ulizia mifuko ya kuhifadhia matunda watakupa.. yaani iko poa sana na hata ukimaliza kutumia hutupi unauosha na kuuanika kwa ajili ya matumizi ya wakati mwingine...