britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
-
- #81
KumbeHahaha sio hawasemi hawatutaki na vyeusi mangala
Mwanaume: Mrefu kuliko mimi
Mpira: England-Manchester United
Bongo-Simba
Spain:Barcelona
France: PSG
Timu ya taifa: France
Mchezaji bora muda wote: Diego Maradona [emoji16]
Mziki: Ya levis-katchua
Eminem-cleaning out my closet
G eazy-Good life
Tyga- 1 of 1
Vinywaji: Maji,maziwa
Movies: What happened to monday
Wonder
Death note
Mtandao bora: Jamiiforums
Cheers..... Simba and ChelseaNapenda wanawake wote wenye viuno vikubwa kuliko vifua vyao
Kuhusu nimpendae katika siasa ni Mh Tundu Lisu
Mpira mimi ni mwana simba kwa Tanzania ila nje ni Chelsea
Muziki wangu ni reggae pamoja na muziki ya taratibu kama ya Celine dion, Shania twin, ABBA chikutita, Michael Jackson, West life nk
Starehe yangu ni kutalii, ngumi, mapenzi ganja pamoja na jamiiforums
Vituko napendelea ila viwe HD na viwe vya viwango
Usafiri ninaopendelea ni hizi pikipiki kubwakubwa
Rafiki rafiki rafiki.
Basi rafiki yaishe[emoji85][emoji85][emoji85]Rafiki rafiki rafiki.
Mbona tumefanafana kwenye interests, ushasafiri nchi ngapi?? Unaipendaje Arsenal?? Siulizi kuhusu msambwandaMimi ninayo Matako makubwa
Ni mrefu
Mweusi
Napenda Arsenal
Napenda Club Libolo ya Congo
Napenda kusafiri safiri sana
Sipendi kutongozwa
Rafiki three idiots??? Kumbe mimi na wewe dam dam rafikiNgoja niweke na mimi [emoji16][emoji16]
Wanaume: Navutiwa zaidi na personality kuliko maumbile, sura au rangi
Mpira: sio shabiki kabisa nikifuatilia basi nafuata mkumbo tu
Siasa: Sina chama ila naunga mkono harakati za upinzani
Mwanasiasa ninayemkubali : Zitto Kabwe
Kinywaji: Pepsi
Muvi bora: Three Idiots, Empress Ki
Muziki: Swahili Gospel (kinge ni shida)
Msanii wangu bora : Prof Jay
Vituo bora : Magic FM, Clouds
Mtandao wangu pendwa: JamiiForums
Bora tu yaishe rafikiBasi rafiki yaishe[emoji85][emoji85][emoji85]
Rafiki three idiots??? Kumbe mimi na wewe dam dam rafiki
Nafurahi kufanana na wewe rafikiNdio rafiki kumbe tunafanana
Kwa nn sisi weusi mnatubaguaTena wale weusi tii kama mkaa sampuli yako mkwe
Vyote hivyo flat screen, ufupi na weusi handsomeUko kitengo kipi?
Flat screen au ufupi?
- KANA -
Hahhahah umemsahau mdogo wako kama cheusi dawa au unajisahaulisha tu
Kwa nn sisi weusi mnatubagua