Hebu tuone memba wenye interest zinazofanana, starehe, vinywaji, mpira, siasa

Sawa,

Inasadikika Malcolm X kwa tabia yake ya kusoma sana maandishi (Japo pia inasemekana baba yake Malcom X aliwahi kufanya kazi kwa Marcus) Atakuwa alipitia Machapisho yake Mengi ya Huyu Marcus.

Moja ya Nukuu yake ambayo niliipenda "kutofahamu vyema historia yako ni Sawa na Mti uliokosa mizizi imara"

Inasemekana hakuwahi kufika Africa japo alianzisha kampuni ya Usafiri Black Star Line "Meli" ili Watu Weusi warudi zao Africa katika ardhi yao ya asili( Mababu)....hii movement ilifeli.

Kwa lugha nyepesi waweza kusema alikuwa Mnafiki.

Baada ya harakati kukwama alikwenda zake kuishi Uingereza hata kifo kimemukuta London akiwa Alone,Broke na Unpopular.


Wewe unakubaliana kuwa alikuwa mnafiki, alikuwa akihubiri asiyoyatenda....??
Simple, harakat zake za kupigania haki za mtu Mweusi hasa Bara la America, na Speaches zake zilizo tukuka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke : yeyote mwenye haiba ya kike na smart.

Movie: bourn identity

Mpira ulaya : arsenal

Mpira bongo : yanga

Novel ; by way of deception

Music: 03 borne & clyide

Artist : Jay z

Kinywaji hard liquors; Jameson, black label + any best Scottish whisky
Vodka: absolute vodka
Local gin : k vant ama konyagi
Beers : Heineken, castle light ikibidi kilmanjaro

Msosi : chochote Chenye Nyama

Mtandao bora : jamii forum

Gari nayoipenda : landcruiser hardtop v8

Hobbies : Hunting & traveling


Mwisho wa kunukuu
 
Wanawake: Beautiful (Very beautiful), Brainy and Humble.

Timu: Simba

Mwanasoka wa Muda Wote: Gaucho

Muziki: Something new ya Wiz Khalifa ft Dollar $ign

Mwanamuzi: Wiz Khalifa

Kinywaji: Inategemea na kiasi nilichonacho mfukoni

Movie: The Bourne Series, Akeelah and The Bee na Three Idiots.

Siasa: Sina chama, nilikuwa CDM kipindi cha Dr Slaa

Mwanasiasa: Hakuna

Mitandao: JF, ESPN na BBC

Nyongeza:
Chakula - Chapati Maharage
Mwandishi - Robert Ludlum
Kitabu - Animal Farm na The Alchemist.
 
😊😊😊
 
a woman who loves EMIN3M and football...
almost perfect.
 
I am dedicating you "kamwambie" by diamond
[Chorus]
Nenda kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi
Nasema kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi

[Verse 1]
So ningeamuru nyota na mbalamwezi
Viwe mali yake yeye
Natamani ila tatizo siwezi
Huenda ingefanya anielewe
Ah ona, si alinifunza mapenzi
Nlikuwa sijui kamwambie
Akanidekeza kishenzi
Kwa nyimbo nzuri nimuimbie

[Pre-Chorus]
So asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia
Akalishusha thamani penzi nalompenda kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari, burudani na fedha mimi akanichukia mmh
Mwambie asisikie mapenzi, moyo wangu unaumia
Ee yeah

[Chorus]
Nenda kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi
Nasema kamwambie, aa haa jinsi navyompenda mi aa haa
Na kama mapenzi bado, aa haa, mwambie ntayaongeza mi

[Verse 2]
Nasema siku hizi wala hakuna fungate
Mapenzi hayana thamani
Hivyo mwambie wanaopenda wachache
Wengi wanatamani
Uuh wanaanzaga kwa tafadhali, wakishapewa wanapotea
Nenda mwambie ajihadhari na dua njema namuombea



Cc.........[emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumefanana kwa gaucho
 
Thanks much😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…