PostGE2025 Hebu tuongee ukweli nani anayoiharibu Tanganyika, Ni CCM au Wapinzani?

PostGE2025 Hebu tuongee ukweli nani anayoiharibu Tanganyika, Ni CCM au Wapinzani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

maandamano

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2025
Posts
726
Reaction score
1,548
Unajua watu wazima wanaziba ufa kwa kusema UONGO,wanayoiharibu inchi ni CCM na serikali kwa ujumla,hivi hakuna mtu asiyejua chanzo cha haya matatizo ni mama kujipitisha kugombea peke yake na tume ya uchaguzi ya mchongo.

Kama uchaguzi ungekuwa huru na haki kuna mtu yeyote angeingia barabarani kuandamana?

Hebu wanasiasa viongozi wa dini mchongo msijitoe akili bila kubadilisha mifumo ya uchaguzi hatutavuka hapa la sivyo mtateka na kuuwa watu Tanzania nzima
 
wanayoiharibu inchi ni CCM na serikali kwa ujumla,hivi hakuna mtu asiyejua chanzo cha haya matatizo ni mama kujipitisha kugombea peke yake na tume ya uchaguzi ya mchongo,
Kweli kabisa
 
Hivi Wapinzani ndio wanateka wananchi? kuminya uhuru wa maoni?, kujilimbikizia Mali?,kufira wananchi? , kuwaongezea Kodi?, kuua masoko ya wakulima wa ndani?..maswali mengine yanaweza kukufanya uonekane tahira ilihali umzima
 
1. Maccm yaan rais ni mwenyekt wa ccm, mgombea urais halafu anateua viongoz wa tume ya uchaguz ndo wanatangaza matokeo ya nani kashinda, anateua wakurugenz hao ndo wanatangaza mbunge wa chama gn kashnda sa hapo unategemea nn.
2. Muungano fake wenye manufaa kwa nchi ya zanzibar na wazanzibar na maccm ni ajabu zanzibar ni nchi yenye katiba yake, bunge, bendera, jeshi, rais na taasisi zote za kserikali pia wazanzibar wanakuwa marais, wabunge, mawaziri huku tanganyika lakn mtanganyika huruhusiwi kuwa hata mjumbe zanzibar na unahesabika kama mgeni toka nchi nyngne
KWA HAYO MACHACHE NADHANI UMEPATA JIBU.
 
Kila mmoja anafahamu hata CCM anafahamu ni yeye lakini analazimisha kusema si yeye
 
ni wapinzani maama wao ndio watekaji, ndio mafisadi, na ndio wanatunyima katiba mpya
 
Swali Gani hili!?Yule Maza angesimama Luaga mpina angebeba urais mchana jua Kali,alivyo jua hivyo akampiga Pini,hapo ni baada ya kumpiga spana Lisu,huyu mama ingewekwa picha ya mbuzi na yake ningechagua meee basi.
 
Back
Top Bottom