1. Maccm yaan rais ni mwenyekt wa ccm, mgombea urais halafu anateua viongoz wa tume ya uchaguz ndo wanatangaza matokeo ya nani kashinda, anateua wakurugenz hao ndo wanatangaza mbunge wa chama gn kashnda sa hapo unategemea nn.
2. Muungano fake wenye manufaa kwa nchi ya zanzibar na wazanzibar na maccm ni ajabu zanzibar ni nchi yenye katiba yake, bunge, bendera, jeshi, rais na taasisi zote za kserikali pia wazanzibar wanakuwa marais, wabunge, mawaziri huku tanganyika lakn mtanganyika huruhusiwi kuwa hata mjumbe zanzibar na unahesabika kama mgeni toka nchi nyngne
KWA HAYO MACHACHE NADHANI UMEPATA JIBU.