Hebu tupige story kidogo kuhusu ukatili katika ndoa, je ndoa za wake wengi nako kuna mauwaji?

Dr Matola PhD

Platinum Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
62,453
Reaction score
111,795
Hebu tusemezane kidogo na haswa wanaume, inabidi tujiulize na kutafakari, katika matukio ya ukatili katika ndoa kuna takwimu zozote za ukatili wa kuuwana kwa watu waliopo kwenye ndoa ya wake wengi?

Mfano labda kuna mtu yeyote amewahi kumsikia mtu mwenye wake wengi analalamika kunyimwa unyumba?

Hebu tutafakari kwa makini tubadirishe fomesheni kuna kitu usasa unatugharimu, Wazee wetu hawakuwa wajinga kuwa na wake wengi rasmi siongelei michepuko.

Tena kwa sasa kwakuwa takwimu za wanawake ni kubwa kuliko wanaume, hamuoni ni muda sahihi sasa wa kuwa na mke zaidi ya mmoja ili hizi mambo za sijui nanyimwa unyumba ziishe kabisa?

Je ni nini mtazamo wako?
 
Jitahidini kufanya maombi kwenye mahusiano au ndoa zenu
IMG-20261009-WA0124.jpg
 
Na ndio maana solution ni kuoa wake zaidi ya mmoja akizingua huyu unatulia na huyu mke mwengine

Haya mambo ya mke mmoja hadi kifo ndio haya haya ya kutoana roho
 
Hebu tusemezane kidogo na haswa wanaume, inabidi tujiulize na kutafakari, katika matukio ya ukatili katika ndoa kuna takwimu zozote za ukatili wa kuuwana kwa watu waliopo kwenye ndoa ya wake wengi?

Mfano labda kuna mtu yeyote amewahi kumsikia mtu mwenye wake wengi analalamika kunyimwa unyumba?

Hebu tutafakari kwa makini tubadirishe fomesheni kuna kitu usasa unatugharimu, Wazee wetu hawakuwa wajinga kuwa na wake wengi rasmi siongelei michepuko.

Tena kwa sasa kwakuwa takwimu za wanawake ni kubwa kuliko wanaume, hamuoni ni muda sahihi sasa wa kuwa na mke zaidi ya mmoja ili hizi mambo za sijui nanyimwa unyumba ziishe kabisa?

Je ni nini mtazamo wako?
Mtu kama unaweza kuoa unaoa tu. Lakini ndoa za mitara nazo zina mambo yake,, migogoro na mikasa ya familia kuwindana. Kama hujatuliza kichwa unaweza kuchizi.

Kwenye ndoa za wake wengi lazima utakuwa unanufaika wewe mwanaume. Ila wanawake wengi hawapendi hiyo kitu, kitakachotokea hapo ni kutumia forced mechanism aidha kwa mgongo wa tamaduni, kiuchumi, au personally.

Mara nyingi unakuta watoto wa pande zote mbili au zaidi wanahitaji uwepo wako all the time. Utaweza kuwaridhisha wote na kuwapenda at the same levels?

Kama wanawake wote wakiridhika na hiyo hali basi huo ni msingi wa kufanikisha. Lakini kama hawaridhii maana yake lazima wawindane, familia zote zitakosa amani. Marumbano na migogoro kila kukicha. Utapata wapi huo utulivu unaoutafuta?
 
Hebu tusemezane kidogo na haswa wanaume, inabidi tujiulize na kutafakari, katika matukio ya ukatili katika ndoa kuna takwimu zozote za ukatili wa kuuwana kwa watu waliopo kwenye ndoa ya wake wengi?

Mfano labda kuna mtu yeyote amewahi kumsikia mtu mwenye wake wengi analalamika kunyimwa unyumba?

Hebu tutafakari kwa makini tubadirishe fomesheni kuna kitu usasa unatugharimu, Wazee wetu hawakuwa wajinga kuwa na wake wengi rasmi siongelei michepuko.

Tena kwa sasa kwakuwa takwimu za wanawake ni kubwa kuliko wanaume, hamuoni ni muda sahihi sasa wa kuwa na mke zaidi ya mmoja ili hizi mambo za sijui nanyimwa unyumba ziishe kabisa?

Je ni nini mtazamo wako?
Kwenye ndoa ya wanawake wengi, ugomvi na mauaji hutokea baina ya wake wenza.
 
Zama za nyuma ilitumika forced mechanism kwa mgongo wa tamaduni na mfumo dume.

Kipindi hicho mwanamke alikuwa anaridhia ikishaamuliwa hana namna. Leo ukiongeza mke ndo unampa ticket mke kuongeza mabwana,,,, anakwambia si umeanza mimi namaliza 😂
 
Back
Top Bottom