Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Huyu amekwisha, amekabidhi moyo na akili, hamna mtu humo.Jitahidini kufanya maombi kwenye mahusiano au ndoa zenu
View attachment 3688034
Ndo mnataka kusemaje???!!!
Mtu kama unaweza kuoa unaoa tu. Lakini ndoa za mitara nazo zina mambo yake,, migogoro na mikasa ya familia kuwindana. Kama hujatuliza kichwa unaweza kuchizi.Hebu tusemezane kidogo na haswa wanaume, inabidi tujiulize na kutafakari, katika matukio ya ukatili katika ndoa kuna takwimu zozote za ukatili wa kuuwana kwa watu waliopo kwenye ndoa ya wake wengi?
Mfano labda kuna mtu yeyote amewahi kumsikia mtu mwenye wake wengi analalamika kunyimwa unyumba?
Hebu tutafakari kwa makini tubadirishe fomesheni kuna kitu usasa unatugharimu, Wazee wetu hawakuwa wajinga kuwa na wake wengi rasmi siongelei michepuko.
Tena kwa sasa kwakuwa takwimu za wanawake ni kubwa kuliko wanaume, hamuoni ni muda sahihi sasa wa kuwa na mke zaidi ya mmoja ili hizi mambo za sijui nanyimwa unyumba ziishe kabisa?
Je ni nini mtazamo wako?
Takwimu...Ndo mnataka kusemaje???!!!
Kwa kiasi fulani naunga mkono hoja yako bro.Kwa maisha ya sasa, ndoa ni kitu outdated
Kwenye ndoa ya wanawake wengi, ugomvi na mauaji hutokea baina ya wake wenza.Hebu tusemezane kidogo na haswa wanaume, inabidi tujiulize na kutafakari, katika matukio ya ukatili katika ndoa kuna takwimu zozote za ukatili wa kuuwana kwa watu waliopo kwenye ndoa ya wake wengi?
Mfano labda kuna mtu yeyote amewahi kumsikia mtu mwenye wake wengi analalamika kunyimwa unyumba?
Hebu tutafakari kwa makini tubadirishe fomesheni kuna kitu usasa unatugharimu, Wazee wetu hawakuwa wajinga kuwa na wake wengi rasmi siongelei michepuko.
Tena kwa sasa kwakuwa takwimu za wanawake ni kubwa kuliko wanaume, hamuoni ni muda sahihi sasa wa kuwa na mke zaidi ya mmoja ili hizi mambo za sijui nanyimwa unyumba ziishe kabisa?
Je ni nini mtazamo wako?
Yani huu mshangazi wa nguvu unamwita bro?Kwa kiasi fulani naunga mkono hoja yako bro.
Mbona sasa mimi niko interested na wewe? Itakuwaje sasa kama mawazo yako ndio haya?Kwa maisha ya sasa, ndoa ni kitu outdated
Mimi nikiwa na akili zangu timamu.....mtu akiniambia kunioa atabaki na vumbi tu nitapotea kama kasongo, sitaki kabisaMbona sasa mimi niko interested na wewe? Itakuwaje sasa kama mawazo yako ndio haya?
Kwahiyo tupigane miti tu au siyo?Mimi nikiwa na akili zangu timamu.....mtu akiniambia kunioa atabaki na vumbi tu nitapotea kama kasongo, sitaki kabisa
Ewaaaaaaahhhhhhh lete manenooooKwahiyo tupigane miti tu au siyo?