Hebu tuwatazame,nani ni nani pale WCB?

Udini udinini udinidini dini za wazungu na waarabu so WCB mkristo ni rayvan tu? Vp kuhusu Wasafi radio na tv je?
 
Huu ni uchambuzi wa mtu alokosa kazi ya kufanya akakurupuka na kujikuta anaandika shudu bila hata kufanya upembuzi yakinifu kuhusiana na kundi zima la WCB.... Toa facts za uhakika tukuelewe... Km domo ni mmiliki wa 2 kwa hisa wasafi wa kwanza nani? Km momo anawamenej wasanii wote chin ya wasafi mbona hatumuon na mond... mavoko... au mbosso? Ni kweli babu talent hana elimu.. je unamjua HR wa wasafi? Nk. Nk. Nk.... so kafanye uchunguzi afu utuletee hapa
 
Mkuu nimecheka sana..kwamba mwingine anatembelea Ist ya ubber, mwingine nyimbo 10 bila hit hata moja, mwingine muuza sura...Mwingine mzee wa ndulele alisafisha nyota ya boss.....
 
Mkuu nimecheka sana..kwamba mwingine anatembelea Ist ya ubber, mwingine nyimbo 10 bila hit hata moja, mwingine muuza sura...Mwingine mzee wa ndulele alisafisha nyota ya boss.....
Ila ndo ukweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…