Hebu tuwatazame,nani ni nani pale WCB?

Hebu tuwatazame,nani ni nani pale WCB?

Udini udinini udinidini dini za wazungu na waarabu so WCB mkristo ni rayvan tu? Vp kuhusu Wasafi radio na tv je?
 
Huu ni uchambuzi wa mtu alokosa kazi ya kufanya akakurupuka na kujikuta anaandika shudu bila hata kufanya upembuzi yakinifu kuhusiana na kundi zima la WCB.... Toa facts za uhakika tukuelewe... Km domo ni mmiliki wa 2 kwa hisa wasafi wa kwanza nani? Km momo anawamenej wasanii wote chin ya wasafi mbona hatumuon na mond... mavoko... au mbosso? Ni kweli babu talent hana elimu.. je unamjua HR wa wasafi? Nk. Nk. Nk.... so kafanye uchunguzi afu utuletee hapa
 
Meneja ricardo momo huyu anawasimamia wasanii walio chini ya wcbView attachment 816100

Diamond huyu ndio mwanzilishi wa wcb na mtu wa pili kwa hisa wasafi mediaView attachment 816101

Mlezi ambaye ni mwanahisa akiwa na mameneja tale hana elimu ndio maana anaitwa mr ndioView attachment 816102

Lavalava msanii ambaye hana mafanikio ndani ya WCB kwani anaenda ist ambayo ni uber dereva akiwa yeye mwenyewe View attachment 816103 m

Mbosso msanii ambaye ana nyimbo 10 ndani ya miez 6 ila zote hazijavuma akiwa na Raymond mwanamuziki ambaye kundini wa tofauti kabaki peke yake baada ya Mavoko kutokaView attachment 816104

Diwani Fella aka mzee wa kubeba mikoba akiwa meneja mjanja mjanja Salam aliyeshinikiza Kifesi na Mavoko kufukuzwaView attachment 816105

Zamaradi Mketema meneja vipindi na uzalishaji Wasafi mediaView attachment 816106

Queen Darlin first lady wa WCB huyu muziki alishaisha ila kawekwa tu mradi apate ugali maana ni ndugu na Diamondi huyu ndio alimkutanisha Mondi na Bob Junior na watanashatiView attachment 816107

Romy Jones ndugu mpambe wa Diamondi kazi yake ni kuuza sura tuView attachment 816108

Harmonize kipenzi cha Mondi, huyu ana hisa pia Wasafi media anapendwa sababu ya uwezeshaji aliompa Mondi toka Mtwara mpaka nyota kuzidi kuwa nyeupe ndio maana mondi akaamua kwenda kulee kwao kutoa zawadi ya kujenga nyumba ya ibada
View attachment 816109
Mavazi yao yanazungumza wao ni watu wa aina gani
Mkuu nimecheka sana..kwamba mwingine anatembelea Ist ya ubber, mwingine nyimbo 10 bila hit hata moja, mwingine muuza sura...Mwingine mzee wa ndulele alisafisha nyota ya boss.....
 
Mkuu nimecheka sana..kwamba mwingine anatembelea Ist ya ubber, mwingine nyimbo 10 bila hit hata moja, mwingine muuza sura...Mwingine mzee wa ndulele alisafisha nyota ya boss.....
Ila ndo ukweli mkuu
 
Back
Top Bottom