Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
This Uzi is proudly sponsored by KIFESI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama wewe sio richimakovo sijui..
Mkuu nimecheka sana..kwamba mwingine anatembelea Ist ya ubber, mwingine nyimbo 10 bila hit hata moja, mwingine muuza sura...Mwingine mzee wa ndulele alisafisha nyota ya boss.....Meneja ricardo momo huyu anawasimamia wasanii walio chini ya wcbView attachment 816100
Diamond huyu ndio mwanzilishi wa wcb na mtu wa pili kwa hisa wasafi mediaView attachment 816101
Mlezi ambaye ni mwanahisa akiwa na mameneja tale hana elimu ndio maana anaitwa mr ndioView attachment 816102
Lavalava msanii ambaye hana mafanikio ndani ya WCB kwani anaenda ist ambayo ni uber dereva akiwa yeye mwenyewe View attachment 816103 m
Mbosso msanii ambaye ana nyimbo 10 ndani ya miez 6 ila zote hazijavuma akiwa na Raymond mwanamuziki ambaye kundini wa tofauti kabaki peke yake baada ya Mavoko kutokaView attachment 816104
Diwani Fella aka mzee wa kubeba mikoba akiwa meneja mjanja mjanja Salam aliyeshinikiza Kifesi na Mavoko kufukuzwaView attachment 816105
Zamaradi Mketema meneja vipindi na uzalishaji Wasafi mediaView attachment 816106
Queen Darlin first lady wa WCB huyu muziki alishaisha ila kawekwa tu mradi apate ugali maana ni ndugu na Diamondi huyu ndio alimkutanisha Mondi na Bob Junior na watanashatiView attachment 816107
Romy Jones ndugu mpambe wa Diamondi kazi yake ni kuuza sura tuView attachment 816108
Harmonize kipenzi cha Mondi, huyu ana hisa pia Wasafi media anapendwa sababu ya uwezeshaji aliompa Mondi toka Mtwara mpaka nyota kuzidi kuwa nyeupe ndio maana mondi akaamua kwenda kulee kwao kutoa zawadi ya kujenga nyumba ya ibada
View attachment 816109
Mavazi yao yanazungumza wao ni watu wa aina gani