hapo ndo unaona raha yake yani.. na akikuzingua huku una switch nyingine tu hahahHahaaa ni kweli mkuu,
Unaandika mashudu unavyotaka,
Mtu akikuboa, unampa kubwa yake [emoji3][emoji3][emoji3],
Ukute ni mama /baba mkwe wako[emoji3][emoji3][emoji3],
Hahaaa ni kweli mkuu,
Unaandika mashudu unavyotaka,
Mtu akikuboa, unampa kubwa yake [emoji3][emoji3][emoji3],
Ukute ni mama /baba mkwe wako[emoji3][emoji3][emoji3],
Atajua nwenyweeeHahaaa ni kweli mkuu,
Unaandika mashudu unavyotaka,
Mtu akikuboa, unampa kubwa yake [emoji3][emoji3][emoji3],
Ukute ni mama /baba mkwe wako[emoji3][emoji3][emoji3],
Aaah kabisa[emoji23]Mbaya mbovu ni kubishana na usiyemjua yaani unaweza jikuta unajibizana na mumeo humu
Ila kila mtu na kilevi chakeet wanaJF wenzangu mi nashangaa sana hawa watumiaji wa madawa wanavyosemaga ile raha wanayoipata haina mfano hapa duniani..
Mi naawaambia hakuna raha isiyo na Mfano kama kutumia Fake Account JF. Yani una bubujika tuu.. Yani ukweli usemwe. Salam kwenu Verified User ila najua tuu mnazo zile za kujilipua.
[HASHTAG]#live[/HASHTAG] long JF
Ahsante Max
Hahahahahahahaaaaaaa.Mbaya mbovu ni kubishana na usiyemjua yaani unaweza jikuta unajibizana na mumeo humu
Hadi mnafikia hatua ya kuchaguliana style.Mnaweza kutongozana pm kumbe ni kaka na dada wa damu kabisa, aseeh jf raha sana.
HahahaHahahahahahahaaaaaaa.
Mi nahisi najibizana na rafiki yangu halafu tumelala kwenye bed moja na tunashushia na mastori kibao