Hebu tuwe wawazi hapa jamani wana JF

Hebu tuwe wawazi hapa jamani wana JF

Raha iliozidi kifani nipale unapofaham ID ya bos wako........😀😀😀 yani akikuzingua tu kazi unawahi jf...

Akija na post yake hata kama ni yasalam wewe unaamka nayo kumimina yarohoni yan unajiachia kinoma.


  • Tena kwa jeur unampiga biti kuwa unaweza mlisha na familia yake mwaka mzma😛
 
Back
Top Bottom