Word
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 1,356
- 3,235
et wanaJF wenzangu mi nashangaa sana hawa watumiaji wa madawa wanavyosemaga ile raha wanayoipata haina mfano hapa duniani..
Mi naawaambia hakuna raha isiyo na Mfano kama kutumia Fake Account JF. Yani una bubujika tuu.. Yani ukweli usemwe. Salam kwenu Verified User ila najua tuu mnazo zile za kujilipua.
[HASHTAG]#live[/HASHTAG] long JF
Ahsante Max