Internal JF-Expert Member Joined Feb 23, 2017 Posts 3,579 Reaction score 3,919 Apr 27, 2017 #21 Raha iliozidi kifani nipale unapofaham ID ya bos wako........πππ yani akikuzingua tu kazi unawahi jf... Akija na post yake hata kama ni yasalam wewe unaamka nayo kumimina yarohoni yan unajiachia kinoma. Tena kwa jeur unampiga biti kuwa unaweza mlisha na familia yake mwaka mzmaπ
Raha iliozidi kifani nipale unapofaham ID ya bos wako........πππ yani akikuzingua tu kazi unawahi jf... Akija na post yake hata kama ni yasalam wewe unaamka nayo kumimina yarohoni yan unajiachia kinoma. Tena kwa jeur unampiga biti kuwa unaweza mlisha na familia yake mwaka mzmaπ