pole kama nili mic point lakini nicngeweza ku discuss hiyo niliyo ku qoute hapo chini, khaaa kazi ipo.
"Na wasichana wengi hawana ujasiri wa kukataa kutoa kitumbua kutokana na ushawishi mkubwa walio nao wengi wa wanaume"
WE mbona umekuwa mshari sana?.........i am not happy with you!please..Kama u mmoja wao, pole bibie.
Kama u mmoja wao, pole bibie.
WE mbona umekuwa mshari sana?.........i am not happy with you!please..
Preta nimekuomba ufafanuzi wa post yako sijaielewa vema je ni katika kutolewa out au kutoka out?
Nitagoma kuongea mimi!! Shauri yako
Kingine unakuta wasichana wengi wana ma bf na unakuta rafikiye anamjua na akitoka outing peke yake inaweza ikafika kwa bf kuwa amekwenda kumegwa sasa ili kuondoa huo umbea basi anapata bodyguard!!!
Wanawake wengi hawajiamini. Unavyoogopa kutoka mwenyewe ukatoka na kundi la marafiki ni vigumu kutengenza marafiki wapya kwa vile utakuwa na wale tuuuu. Pia hupanui wigo wako wa kufikiri na kupambanua mambo kwa vile ur only confined to a certain group of individuals.
Kwanza, wengi wa wanaume huwa wanachelewa kwenye vi-date. Msichana anaweza kujikuta anasubiri hadi nusu saa. Kwa hiyo ukiwa na shosti wako unapata kampani wakati unamsubiri jamaa.
Sababu nyingine, wanaume ni wepesi kutaka kula kitumbua baada ya mtoko, hata kama ni mtoko wa kwanza. Na wasichana wengi hawana ujasiri wa kukataa kutoa kitumbua kutokana na ushawishi mkubwa walio nao wengi wa wanaume. Hivyo basi, kujiepusha na hili, wengi wa wasichana hupenda kutoka na marafiki zao katika maswala mazima ya kujiongezea confidence na kuepuka kutoa kitumbua kabla hata hakijaeleweka.
Umekwazika? Pole🙄......
kote kuwili
kuna ule wimbo wa kina nani wale... una kibwagizo cha sio kila mara mwanamke akienda bar ni muhuni........Wanawake wengi hawajiamini. Unavyoogopa kutoka mwenyewe ukatoka na kundi la marafiki ni vigumu kutengenza marafiki wapya kwa vile utakuwa na wale tuuuu. Pia hupanui wigo wako wa kufikiri na kupambanua mambo kwa vile ur only confined to a certain group of individuals.
Aksante Preta.
Kuhusu kutoka out- kimwenyewe mwenyewe mh huwa naona kama haikuji vile? Utatokaje out mwenyewe kama mchawi? Unless unaenda kwenye movie but bar, club? Sijui hata wanaume huwa wanaendaga in company- anakuwa anakutana na friends there au mimi ndo nakosea?
Kutolewa - hii ikitokea mara nyingi huwa ni tabia ya uswahili- unatolewa out halafu unakwenda na shoga ili iweje sasa? Utaenjoy vipi na yule anayekutoa out?
kuna ule wimbo wa kina nani wale... una kibwagizo cha sio kila mara mwanamke akienda bar ni muhuni........
Hii imejengeka sana miongoni mwa jamii yetu kuwa mwanamke akikaa bar au sehemu ya starehe mwenyewe basi anawinda nadhani wengi tumeathiriwa na hii. Na mara nyingi ukiwa peke yako utaona jinsi wabwanga wanavyojichekeshachekesha kwako.