Hebu tuwekane sawa kwenye hili

Hebu tuwekane sawa kwenye hili

Sababu nyingine, wanaume ni wepesi kutaka kula kitumbua baada ya mtoko, hata kama ni mtoko wa kwanza. Na wasichana wengi hawana ujasiri wa kukataa kutoa kitumbua kutokana na ushawishi mkubwa walio nao wengi wa wanaume. Hivyo basi, kujiepusha na hili, wengi wa wasichana hupenda kutoka na marafiki zao katika maswala mazima ya kujiongezea confidence na kuepuka kutoa kitumbua kabla hata hakijaeleweka.

Kumbe!!!!!!!!!!!!

Dooes it make a difference; kumegwa siku ya kwanza ama kumegwa siku ya mwisho!😱
 
ni kuchunana tu akuna jingine na wengi wanatabia hiyo sana umemwalika umepanga bajeti yako na yy anaenda kuchukua shoga yake wachune buzi

Dr wacha uchoyo ndugu yangu!
Afrika yetu chakula ni kitamu kikiliwa na wengi nawe kama una wac wac na kabajeti kako ya nini kutaka makuu; na kwa nini ucimweleze bayana ama kumwuliza ataambana na nani; kuwa muwazi inakuweka huru!

Teh teh te so akija na campany yake mzee unafura ka chatu! kisa unwazia hotchair haitaosha maana uliagiza robo! teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom