Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wanasiasa hebu twende taratibu maana mnatuchanganya, hivi ndio kusema kazi nzuri iliyofanywa na tume/kamati ya Jaji Warioba ndio dead and burried na sasa tunaletewa usanii wa kikosi kazi kilichojaa wahuni na walafi?
Hebu tuelimishane hapa wengine tunashindwa hata kuelewa kinachoendelea, maana kama ni issue ya katiba mpya tayari rasimu ipo, na kama ni tume huru ya uchaguzi ipo ndani ya rasimu ya Warioba, hiki kikosi kazi kilichojaa wahuni, matapeli wa kisiasa na walafi ni cha kazi gani?
Zitto hata wewe? Hukuumbwa na haya? Huna aibu?