Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #21
Kwa nini itupangie pa kujifunza? Kwa nini tusijifunze South Africa, Ghana au Marekani?Jifunzeni kutoka kwa nchi zilizoandika katiba mpya zikidhani ndiyo maendeleo kumbe ni vurumai tupu. Jifunzeni Kenya, Zambia, Malawi etc. Zimebadisha marais toka vyama mbalimbali lakini hakuna maendeleo yoyote
Huu ndio ujinga mnaofundishwa kwenye kile chuo kipya cha mazezeta kilichojengwa kibaha?