Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Pesa za wananchi zinapigwa vizuri snNdo imetoka hiyo mkuu tuishi tu hakuna namna
Nchi ya kutafunaDuh!
Cc Zittokikosi kazi kilichojaa wahuni, matapeli wa kisiasa na walafi
Katiba ipo na hakuna mwaka uchaguzi hautakuwepo, labda nyie wananchi sijui wa wapi ambao kwa uchache wenu hamtapiga kura lakini uchaguzi utakuwepo tu.Rasimu ya Jaji Warioba itumike kama bench mark, kazi ilikuwa nzuri na tutaanzia hapo - ifike pahala watanzania tuchore mstari kwamba - HAKUNA KATIBA HAKUNA UCHAGUZI 2025.
Uchaguzi gani ndugu wa kukimbizana na mabox ya kura mchana mchana - aibu kubwa.Katiba ipo na hakuna mwaka uchaguzi hautakuwepo, labda nyie wananchi sijui wa wapi ambao kwa uchache wenu hamtapiga kura lakini uchaguzi utakuwepo tu.
Mpaka anachukiza sanaOpportunistic ??!!!
Jifunzeni kutoka kwa nchi zilizoandika katiba mpya zikidhani ndiyo maendeleo kumbe ni vurumai tupu. Jifunzeni Kenya, Zambia, Malawi etc. Zimebadisha marais toka vyama mbalimbali lakini hakuna maendeleo yoyoteRais mwenyewe anaiogopa katiba mpya, viongozi wote wanaiogopa katiba mpya sidhani kama litakua jambo rahisi kufanikisha
Ndiyo uchaguzi huo, si rais yupo bwana, au ulitakeje wewe!uchaguzi gani ndugu wa kukimbizana na mabox ya kura mchana mchana - aibu kubwa.
Kwani nini maana ya si hasa?!Rasimu ya Warioba ilikwisha jadiliwa na bunge maalumu la katiba chini ya mwenyekiti wa bunge hilo hayati Mzee Sita na aliyekuwa makamu wake ambaye kwa sasa ndiye Rais, hivyo kilichobaki ni kura ya maoni tu.
kama kuna wakati tunapaswa kuwa makini basinisasa, japo niwakati wa wale wote walio nyuma ya waminya haki wote kuwa hadharani kwani mbinu zote zimekisha sasa hakuna namna watajulikana tu''ccm hawana nia ya kuleta haki ktk nchi hii rasimu ya warioba ilitosha kuwa suruhisho la katiba bora hapa nchini imeweka kila kitu katika usawa na namna ya upatikanaji wa madaraka,kujaribu kuunda vijitume ili kufifisha kelele zakudai katiba na tume huru wanajidharirisha zaidi.Wanasiasa hebu twende taratibu maana mnatuchanganya, hivi ndio kusema kazi nzuri iliyofanywa na tume/kamati ya Jaji Warioba ndio dead and burried na sasa tunaletewa usanii wa kikosi kazi kilichojaa wahuni na walafi?
Hebu tuelimishane hapa wengine tunashindwa hata kuelewa kinachoendelea, maana kama ni issue ya katiba mpya tayari rasimu ipo, na kama ni tume huru ya uchaguzi ipo ndani ya rasimu ya Warioba, hiki kikosi kazi kilichojaa wahuni, matapeli wa kisiasa na walafi ni cha kazi gani?
Zitto hata wewe? Hukuumbwa na haya? Huna aibu?
NI wazi kuwa watawala wa ccm hawataki Katiba Mpya..Wanasiasa hebu twende taratibu maana mnatuchanganya, hivi ndio kusema kazi nzuri iliyofanywa na tume/kamati ya Jaji Warioba ndio dead and burried na sasa tunaletewa usanii wa kikosi kazi kilichojaa wahuni na walafi?
Hebu tuelimishane hapa wengine tunashindwa hata kuelewa kinachoendelea, maana kama ni issue ya katiba mpya tayari rasimu ipo, na kama ni tume huru ya uchaguzi ipo ndani ya rasimu ya Warioba, hiki kikosi kazi kilichojaa wahuni, matapeli wa kisiasa na walafi ni cha kazi gani?
Zitto hata wewe? Hukuumbwa na haya? Huna aibu?