Hebu tuwekane sawa, ndio kusema Rasimu ya Jaji Warioba imezikwa?

Jifunzeni kutoka kwa nchi zilizoandika katiba mpya zikidhani ndiyo maendeleo kumbe ni vurumai tupu. Jifunzeni Kenya, Zambia, Malawi etc. Zimebadisha marais toka vyama mbalimbali lakini hakuna maendeleo yoyote
Kwa nini itupangie pa kujifunza? Kwa nini tusijifunze South Africa, Ghana au Marekani?

Huu ndio ujinga mnaofundishwa kwenye kile chuo kipya cha mazezeta kilichojengwa kibaha?
 
Nadhani hiyo ilishazikwa baada ya ile rasimu ya Chenge, toka wakati ule pale ndipo ile rasimu ya Warioba ilikufa rasmi, haya yanayoendelea sasa ya kuunda vikosi kazi ni kama maombolezo tu na ile pesa iliyotumika pale nayo ndio ilizikwa rasmi.
 
Time barred! Muda uliopita ni mrefu mno kutoka pale maoni yalipotolewa; kwa hiyo kunahitajika mchakato mwingine mpya kabisa na maoni mengine mapya pia. Mambo mengi mno yameshabadilika
 
Jifunzeni kutoka kwa nchi zilizoandika katiba mpya zikidhani ndiyo maendeleo kumbe ni vurumai tupu. Jifunzeni Kenya, Zambia, Malawi etc. Zimebadisha marais toka vyama mbalimbali lakini hakuna maendeleo yoyote

Tanzania tunamaendeleo gani zaidi ya kenya?
 
Time barred! Muda uliopita ni mrefu mno kutoka pale maoni yalipotolewa; kwa hiyo kunahitajika mchakato mwingine mpya kabisa na maoni mengine mapya pia. Mambo mengi mno yameshabadilika
Ina maana maoni yaliyotolewa yalikusudia yatumike kwa miaka kumi tu kisha yatafutwe tena maoni mengine kwa kuwa mambo mengi mno yamebadilika ??!!
 
Jifunzeni kutoka kwa nchi zilizoandika katiba mpya zikidhani ndiyo maendeleo kumbe ni vurumai tupu. Jifunzeni Kenya, Zambia, Malawi etc. Zimebadisha marais toka vyama mbalimbali lakini hakuna maendeleo yoyote
Wewe ni kijana au mzee?kama kijana nakupa pole sana,una akili ya kanga,tishert na kofia na kusubiria kuiba kura
 
Jifunzeni kutoka kwa nchi zilizoandika katiba mpya zikidhani ndiyo maendeleo kumbe ni vurumai tupu. Jifunzeni Kenya, Zambia, Malawi etc. Zimebadisha marais toka vyama mbalimbali lakini hakuna maendeleo yoyote
We jamaa Sijui una akili za wap
 
Watanzania Tuipiganie RASIMU YA WARIOBA hakuna sababu ya Kuhangaika na KIKOSI KAZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…