Hebu tuweni wastaarabu hebu ona huyu....

Bora hao mtu anaomba maji ya kunywa
Kwani ulikotoka maduka hakuna au? Unapangia watu kukupa maji kisa umekuja ofsini kwao? Ungekuwa umeleta hela basi. Unafata msaada na maji upewe ?
 
NAHUJA kumbe ile siku nilikukwaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila nilisahau charger yangu
 
alivokuambia uiweke ipate moto kidogo, sasa ofisini kwenu si kuna jiko la ofisi na maikrowevu. ungeiweka kama dakika tano hivi. nakuhakikishia ingepata moto. achana na maikrowevu wewe
 
alivokuambia uiweke ipate moto kidogo, sasa ofisini kwenu si kuna jiko la ofisi na maikrowevu. ungeiweka kama dakika tano hivi. nakuhakikishia ingepata moto. achana na maikrowevu wewe
mmh! hahahahahah
 
Nipo jirani. Njia ya kwenda kule kwetu inapanuliwa. Kwa ramani ya pale kwenu uliponielekeza, naona miti ile yote ya karibu na barabarani inatoka.
Si kwa vumbi lile jirani aisee tutakufa hakuna raha wala amani nitakutafuta nikimaliza ubuzy kiasi
 
Si kwa vumbi lile jirani aisee tutakufa hakuna raha wala amani nitakutafuta nikimaliza ubuzy kiasi
Barua wali iparua kwa ajili ya Waziri Mkuu, jana alipita pale alienda halmashauri akasaini kitabu cha wageni halafu akapasua hadi Igombe kuongea na wananchi. Ila kuna vumbi balaa.
 
Barua wali iparua kwa ajili ya Waziri Mkuu, jana alipita pale alienda halmashauri akasaini kitabu cha wageni halafu akapasua hadi Igombe kuongea na wananchi. Ila kuna vumbi balaa.
Loool!!! Hata kujua kama alipita huko si kwa vyuma kukaza
 
Loool!!! Hata kujua kama alipita huko si kwa vyuma kukaza
Hahah alipita, eti vijana fulani hivi wakawa wameandaa mabango yao kuelezea kero, wakawa wamesimama pale "Centre" wakijaribu kufunga njia. hahahahahahah, gari ya FFU ilipita kidogo wagongwe wakakomaa tu, zilivyopita zingine walijistukia kila mmoja kadondokea upande wake. hahahahahaha
 
Haahaaaaaaaaaaaa yale huwa yanapangwa ati wananchi wamsimamisha JPM au Majaliwa uongo mkubwa ule
 
Haahaaaaaaaaaaaa yale huwa yanapangwa ati wananchi wamsimamisha JPM au Majaliwa uongo mkubwa ule
Sasa wa kwetu jana naona walijipangia tu. hahahahahahhaahaha. walioshuhudia wanasema kidogo yatokee maafa.
 
Naongezea tu na kwenye
Nyumba za ibada mzme cm
Zen mtu umeenda ibada badala
Ufuate kilichokupeleka unaanza kuchart
Badiliken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…