Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimeshindwa kuja maana mikeka yangu yote imechanika[emoji55] [emoji55] ila nitunzie kwanza rafiki😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 ukimaliza ku bet njoo uichukue hahahhaha
Ungemshauri aizime au aitoe sauti kwa utulivu wa ofic.. Wengine wanaishi kwa kukariri Mkuu..
Nipo mie buddy wake mie.. Vyuma vimekaza.. Miss u 2..Dah. Miss you buddy wake mie.
Sijakutia machoni mda.
Yapo ok, tunashkuru.Nipo mie buddy wake mie.. Vyuma vimekaza.. Miss u 2..
Maisha in general yanasemaje buddy wake mie..?
Mi simu yangu bila password huwez kupunguza saut wala kuzimaAhahahaha, si ulizime au uliweke kwenye mafaili huko kabatini ndani
Kwann usiizime na wewe.Wanadamu tunakosa ustaarabu.
Unakwenda kwenye ofisi ya mtu, "naomba uniwekee simu yangu ipate moto kidogo"
Cha ajabu hujazima li simu lako, volume umeweka ya juu, halafu wewe ni mtu wa kupigiwa simu mara kwa mara, yaani unamwachia mwenye ofisi kelele, na mbaya kuliko vyote haupo hata eneo la karibu umeshaenda na mambo yako🙁🙁🙁🙁.
Ukiomba kuwekewa huo moto, tafadhali zima simu yako au weka silence.
Nshachafukwa nafsi mie.
Wanadamu tunakosa ustaarabu.

Yapo poa kwangu pia.. Tunashukuru Mungu..Yapo ok, tunashkuru.
Hope yapo ok kwako pia.
Nice to see you around.Yapo poa kwangu pia.. Tunashukuru Mungu..
Thnks buddy.. u 2 [emoji120] [emoji120]Nice to see you around.
Stay safe.
Du!Fungua upande huo unakaa betri angalia sehemu yenye uwaz ambao unaona mpaka ndani ueke vimaji kidogo likiwa ivoivo on.
Hatakuja kukusumbua tena
hahahah Dina tehe teheMimi huyo
hahahahahahahaahWakoromije ndivyo walivyo!!! 😱😱😱
Ngumu hiyo!Una moyo, ingekuwa mimi nalitupilia mbali lisimu kisha namwambia mwenye simu sikumuona aliyeichukua.
Ushauri wako nitaufanyia kaziNgumu kivipi, mbona mi ninaweza tu tena bila shida.
Kwanini siku hizi kumekuwa na insubordination ya wazi JF? Watu wanawahi nafasi yako kila jukwaa si chit-chat si jukwaa la siasa! Mods mtendeeni haki Joverest!.....hahahahaha![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kamatia chini