Hebu tuweni wastaarabu hebu ona huyu....

Fungua upande huo unakaa betri angalia sehemu yenye uwaz ambao unaona mpaka ndani ueke vimaji kidogo likiwa ivoivo on.
Hatakuja kukusumbua tena
 
Wanadamu tunakosa ustaarabu.

Unakwenda kwenye ofisi ya mtu, "naomba uniwekee simu yangu ipate moto kidogo"
Cha ajabu hujazima li simu lako, volume umeweka ya juu, halafu wewe ni mtu wa kupigiwa simu mara kwa mara, yaani unamwachia mwenye ofisi kelele, na mbaya kuliko vyote haupo hata eneo la karibu umeshaenda na mambo yako🙁🙁🙁🙁.

Ukiomba kuwekewa huo moto, tafadhali zima simu yako au weka silence.

Nshachafukwa nafsi mie.
Kwann usiizime na wewe.

Unatuletea tabia za kiswahili za kulalamika kwa vitu vya kpuuzi
 
Wakoromije ndivyo walivyo!!! 😱😱😱

Wanadamu tunakosa ustaarabu.

Unakwenda kwenye ofisi ya mtu, "naomba uniwekee simu yangu ipate moto kidogo"
Cha ajabu hujazima li simu lako, volume umeweka ya juu, halafu wewe ni mtu wa kupigiwa simu mara kwa mara, yaani unamwachia mwenye ofisi kelele, na mbaya kuliko vyote haupo hata eneo la karibu umeshaenda na mambo yako🙁🙁🙁🙁.

Ukiomba kuwekewa huo moto, tafadhali zima simu yako au weka silence.

Nshachafukwa nafsi mie.
 
Wanadamu tunakosa ustaarabu.

Unakwenda kwenye ofisi ya mtu, "naomba uniwekee simu yangu ipate moto kidogo"
Cha ajabu hujazima li simu lako, volume umeweka ya juu, halafu wewe ni mtu wa kupigiwa simu mara kwa mara, yaani unamwachia mwenye ofisi kelele, na mbaya kuliko vyote haupo hata eneo la karibu umeshaenda na mambo yako🙁🙁🙁🙁.

Ukiomba kuwekewa huo moto, tafadhali zima simu yako au weka silence.

Nshachafukwa nafsi mie.

Una moyo, ingekuwa mimi nalitupilia mbali lisimu kisha namwambia mwenye simu sikumuona aliyeichukua.
 
Back
Top Bottom