Hebu tuyaangazie mafanikio ya Diamond Platnumz mwaka huu wa 2018. Tunaweza pata cha kujifunza

Broe nayaheshimu mawazo yako lakin nayapinga kwa asilimia mia... hakuna kampuni ambayo inamilikiwa na mtu mmoja, hilo la kwanza.... la pili kumiliki mansion sio ndo kuwa una mafanikio.... chris brown aliulizwaga km ana mansion lakin alikataa kuwa sio dream yake.... christiano ronaldo hana private jet... na kuongezea hapo kwa ronaldo ile nembo ya cr7 inatumika na nike kwny upande wa viatu na adidas kwny nguo, hana umiliki wa asilimia mia wa ile nembo na hana kiwanda cha kuzalisha hvo viatu wala nguo... Rihanna ile brand yake ya fenty anashare na puma.... hiyo n mifano michache sana kati ya mingi iliyopo kwa wasanii wengi waliopo... hapo hatujagusia matajiri konk wa dunia au hapahapa bongo ambapo mo dewji ana umiliki wa asilimia 65% ya kampuni lake na bakhresa 80%. Sasa mi nakushangaa sana unapodai mond anatumika na kina kusaga.. kivp labda mi sijakuelewa hapo.... hata akiwa na umiliki wa 50% unatosha kabisa sababu ile ni kampuni na kwa taarifa tu hakuna kampuni ya mtu mmoja tu.... ukienda microsoft bill gates ana hisa chache sana.... facebook hisa zimegawanywa kwanza kwa wale macofounder wanne ndo na wengine wamefata..... sasa hapo cjajua hoja yako ni ipi. Labda unambie kuwa kwny mambo ya kibiashara hazikupandi....
Kuhusu magari... harrier nahisi huijui vizuri ndo maana unasema ni screpa... BMW bado hujawahi isikia ndo maana unahisi inafanana na mark II... nayaheshimu mawazo yako lakini nakupa pole sana sababu ni baba wa mtu fulani ambaye anajivunia kuwa na mshua hatari wakati sie huku tunakuona zuzu... 🙏🙏🙏
 
Hata Ali Kiba anaweza sema hapendi show off tu
 
Rudia kusoma tena kisha mshauri Dimondi anunue kiwanja kikubwa aachane na viganja vya mkono.
 
Nimeishia kusoma uliposema A BOY FROM TANDALE ilikua bonge la album,.. that shit was trash,kajaza ngoma kibao ambazo alishazitoaga, nyimbo mpya za kuhesabu n they trash.
 
Nimeishia kusoma uliposema A BOY FROM TANDALE ilikua bonge la album,.. that shit was trash,kajaza ngoma kibao ambazo alishazitoaga, nyimbo mpya za kuhesabu n they trash.
Tatizo lenu hamjui albam ipoje na huwa na sifa gan....
 
Rudia kusoma tena kisha mshauri Dimondi anunue kiwanja kikubwa aachane na viganja vya mkono.
Uwanja kiganja? Broe mmmmh nakuonea had huruma.... tuzungumzie kwanza madale.... sehemu ambapo amejenga nyumba ya bei ghali, ina swimming pool kubwa, garden na nafasi ya kutosha kupark hata magari 7 unaita wanja kiganja? Na wale ambao gari likishapak uwanja ushaisha utawaitaje? Acha chuki binafsi jomba... kikubali kile kidogo alichofanya mwenzako mzee baba... afu unavozid kuandika inaonekana ndo unapotea zaidi...
 
Safi sana.
Hebu na ww tuekee mafanikio yako tuone sio kufatilia mambo ya watu.
 
Kwa Makala ndefu namna hii bila shaka wewe umo ndani ya wcb au ni mtu wao wa karibu
Wana Nyimbo nzuri bali pia washauri kwamba wanaWeza kufanya hitsongs bila MATUSI nyimbo za diamond na harmonize siku hizi ni matusi tupu
Mbona mboso na Rayvan wanahit bika matusi

Ni hayo yu
 
Safi sana.
Hebu na ww tuekee mafanikio yako tuone sio kufatilia mambo ya watu.
Ngoja nkuwekee ww unayependa kufuatilia ya watu... pengine labda bado huajuona huo uzi... nambie nkusaidie kukuonesha mpuuzi ww.... ulitumwa usome? Huku umefata nini km sio umbea wa kimama mama? Njoo nkuhadithie na yangu upate cha kujifunza ndo maana unatapatapa km mdangaji wa jiji.... nahis hata mama yako hana alichokufundisha ndo maana hujui umuhimu wa kujifunza kwa waliokutangulia....
 
Hapana mie sipo hukoo... ni sawa na shabiki wa man u au arsenal ndakindaki aliyepo huku bongo... Kuhusu swala la nyimbo kuwa na mtusi ni mitazamo tu ya mtu na maana atayoweka katika neno hilo... hata neno "katika" nlilolitumia hapo juu ukilichukulia kwa maana yako lina maana tofaut na nliyoitumia mie hapo.... kingine ni kuwa mziki ni upepo... na sahv nyimbo za hvo zenye utata wa maana inbid ziwepo ili kukidhi mahitaji ya kila mmoja... mie siwezi nkasema km nyimbo zao zinamatusi tatizo cjaona tusi lolote kwny nyimbo zao ila wasikilizaji ndo wanamaana tofauti... kwa mfano rais wetu Mh Magufuli alipokuwa morogoro ashawahi sema "hapa kati patamu, sababu ni kati ya dar na dodoma" lakin watu walimcheka kwakuwa walikuwa na maana yao kichwani... lakini je rais alimaanisha hvooo? Ndo hivo mkuu...
 
Yote tisa ,kumi je kamfanyia nini mola wake na kajiaandaa vipi na kaburi lake maana sio kwa misalaba hio hapo kifuani au ndo usanii na ustaa...dunia mapito mkumbushe ...
Wewe mwenyewe umeshajiuliza umejiandaa vipi na mola wako?ko in short akuna msanii any one ambaye anamapendezi machoni pa MUNGU even choir singers.
 
Unagubu you will die alone
 
Nimeishia kusoma uliposema A BOY FROM TANDALE ilikua bonge la album,.. that shit was trash,kajaza ngoma kibao ambazo alishazitoaga, nyimbo mpya za kuhesabu n they trash.
Hizo kwani mbona Ni fire you're a hater shamelessness on you.
 

Nazungumzia msanii kama Dimondi kuwa na kiwanja kama kiganja ni "UFALA" huyo hamna hamna inatakiwa amiliki si chini ya kiwanja cha ekari moja ndio ajenge mansion,swimming pool ya 5m kwa 10m,parking ya gari 7 hazilipi space kihivyo,madale hawezi kupark gari 7 ndani,kwa kile kiganja kajitahidi sana kwa kubana labda mbili nyingine alaze CCM au nje ya fense.
 
Unagubu you will die alone
Nyie matimu MAVI msanii wenu akiambiwa ukweli mnasema GUBU mara haters acheni "UFALA" ,Gubu la nini wakati huyo msanii wenu haniingizii lolote,awe nacho au afulie siathiriki na chochote wala haiathiri kazi zangu za kukata mkaa.

Ukweli lazima tuseme ajenge kwenye uwanja mkubwa ni aibu kwa msanii kama yeye kujenga kwenye kiganja cha mkono na auze screpa za japani.
 
Wewe unacho ata hicho au msanii gani bongo anaemfikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…