Hebu tuyaangazie mafanikio ya Diamond Platnumz mwaka huu wa 2018. Tunaweza pata cha kujifunza

Sasa Kama auathiriki mbona unalazimisha,Kwanza ulishaingia madale?
 
Sijawahi kuingia madale na sitaingia madale ila hainizuii kuizungumia madale kwani madale nimeiona kwenye Behind scene za video zake na niliona siku walipokuwa wanafanya sherehe sikumbuki ni sherehe gani,kwa kifupi amejenga kwenye KIGANJA cha Mkono.
 
Siku nyingine utumie bangi ya kasulu ndo kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…