Hebu tuzungumzie kidogo ishu ya Vanessa Mdee..

Hebu tuzungumzie kidogo ishu ya Vanessa Mdee..

Diamond alisha sign universal vanessa afrika sio wa kwanza na wala mondi sio wa kwanza.

kuna wengine walishasign kama burna...p-square...na gazza music hawa ni wanamibia[production]

Mkumbuke wana tawi lao South Africa.

Hongera kwa vanessa.
vanessa anajua wabongo wanadigest taarifa kama ilivyo, akaamua kuwalisha tango
 
Isije ikawa hakuna faida yoyote wanayo ipata,
 
vi element vya uchawi ni pamoja Na kufurahia watu wakipata shida, kufedheheshwa etc but karma is still awake
Mkuu huu ni ulimwengu wa critique.. Kama unachukulia kila kitu personal basi kazi unayo..
 
Sasa anakwenda kwa lebo kubwa kwa nyimbo gani alizonazo? Au huwa kuna vigezo vingine tofauti na nyimbo?
 
We Daby usaini Marekani ama Tanzania yote ni kitu kimoja.
Hapana hawa jamaa kwenye branch label zao wana-karibia full centralised authority.

mpunga ni tofauti sina maana ukisaini ya Afrika mpunga unapungua au pengine pote. In short mikataba ni tofauti.

Ila kwenye kufanya kazi wapo flexible kwa wasanii wao... Vanessa akitaka kufanya kazi na artist wa hiyo hiyo label ila nchi tofauti ni fasta.
 
Kumbe wengi hamkumuelewa Vee Money.

Hakusema ni wakwanza kusainiwa universal group bali kasema ni wa kwanza kusainiwa under universal unique joint. Ndo maana kwenye mkataba wake ipo universal group, universal German na airforce1. Kwa hiyo utofauti ni joint contract kati ya hizo universal Groups.

Wasanii waliopita walisaini na universal group pekee.
 
Wht do u wanna tel az?
I mean most of people search for fame..power and money..and to get one or two of those..they find their path through princess of the world....and get signed through great labels... alot of collaborations from famous artist...so we expect the artist to flash some manocarnutos and mormoric sign in the video
 
Back
Top Bottom