Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
S anajua wavivu wa kufikiri wapo wengi.Kwahyo huyo demu katulisha matango pori?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
S anajua wavivu wa kufikiri wapo wengi.Kwahyo huyo demu katulisha matango pori?
vi element vya uchawi ni pamoja Na kufurahia watu wakipata shida, kufedheheshwa etc but karma is still awakeHili sio suala binafsi mkuu..
vanessa anajua wabongo wanadigest taarifa kama ilivyo, akaamua kuwalisha tangoDiamond alisha sign universal vanessa afrika sio wa kwanza na wala mondi sio wa kwanza.
kuna wengine walishasign kama burna...p-square...na gazza music hawa ni wanamibia[production]
Mkumbuke wana tawi lao South Africa.
Hongera kwa vanessa.
Ila yeye mmoja ndiye msanii pekee kwa label/branch ya German.vanessa anajua wabongo wanadigest taarifa kama ilivyo, akaamua kuwalisha tango
Ni kama ww uishi Mwanza mwingine aishi Mara yote hiyo ni kitu kimoja yaani Tanzania.Aache porojo kama magufuli na yeye. Cha muhimu ni lebo,
Ni kweliIla yeye mmoja ndiye msanii pekee kwa label/branch ya German.
Ila sio iwe vanessa msanii pekee aliyesaini na universal Afrika huu utakuwa wizi.
Ndio hivo mzee babaNi kama ww uishi Mwanza mwingine aishi Mara yote hiyo ni kitu kimoja yaani Tanzania.
We Daby usaini Marekani ama Tanzania yote ni kitu kimoja.Ila yeye mmoja ndiye msanii pekee kwa label/branch ya German.
Ila sio iwe vanessa msanii pekee aliyesaini na universal Afrika huu utakuwa wizi.
Wht do u wanna tel az?Sell your soul an get everything...but MUST give SOMETHING
Hapana hawa jamaa kwenye branch label zao wana-karibia full centralised authority.We Daby usaini Marekani ama Tanzania yote ni kitu kimoja.
Huyu anaenda kuuza Album... itatengenezwa.Sasa anakwenda kwa lebo kubwa kwa nyimbo gani alizonazo? Au huwa kuna vigezo vingine tofauti na nyimbo?
I mean most of people search for fame..power and money..and to get one or two of those..they find their path through princess of the world....and get signed through great labels... alot of collaborations from famous artist...so we expect the artist to flash some manocarnutos and mormoric sign in the videoWht do u wanna tel az?