Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

chai na valuu ee ......wewe ushawahi jaribu hiyo, au unatafuta panya wa lab?
Kwani kuwa panya wa lab kitu gani baaanaaaa! we kamata chai weka whisky, weeeee!! kitu inakuwa tamu balaaa!
 
chai na valuu ee ......wewe ushawahi jaribu hiyo, au unatafuta panya wa lab?

Siku moja moja lazima ukubali kuingia lab na kufanya majaribio hauwezijua unaweza kuwa kama akina CHARLES GLASS, JOHNNIE WALKER,
 
hahaha haya bwana nimewasikia, nitachanganya chai, juice na valuu nione nini inakuwa. Mkisikia sauti imepotea mtajua matokeo mazuri!
 
hahaha haya bwana nimewasikia, nitachanganya chai, juice na valuu nione nini inakuwa. Mkisikia sauti imepotea mtajua matokeo mazuri!

Hiyo ni level ya kwanza ya majaribio hapo bado kama level zingine 9
 
Queen mambo? Nimekutaka urafiki kule..........:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…