Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
mmmh nini baba NN !!???:bowl::bowl::bowl:
Nothing Patch!! Why you ask?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmmh nini baba NN !!???:bowl::bowl::bowl:
mmmhhh ikiwa ya dharura sinta enjoy sana nataka tupange kabisaaaaaaaaa si wajua tena
Mmmhhh ikiwa ya dharura sinta enjoy sana nataka tupange kabisaaaaaaaaa si wajua tena
Babu ulikuwa umelala mbona umeamka ghafla kabla ya usingizi haujaisha nini tatizo au umekuja kusikiliza matokeo ya waziri mkuu au mama big ndio kakuamsha
Spread love and not war......................................... natak jiko la peke yangu mie, si kila mja aje anipikie lol
Love silaha babe, pistol mzigo ati
Hahahaaa kwa kweli ukikasirika hata mimi sitakuelewa. Kwa nini ukasirikie kivuli? Si utakuwa huna akili timamu.....lakini kama huudhiki wala kukasirika basi hakuna haja ya kukimbilia kwa painkiller, au siyo? Unanipotezea tu....heheheheheheheeee
Wote humu jamvini ni vivuli but you nononon darling this is your true colour anyway may our alminghty God have mercy on you (rekebisha kidogo grammar naona haijakaa vzr eti mwalimu)
Ndugu, hunijui kabisa. Hunijui kabisa!! Hata kama unadhani kwa namna moja ama nyingine kuwa unanijua, bottomline ni kuwa hunijui. Hakuna anayenijua humu hata kwa wale wawili ambao nimebahatika kuonana nao ana kwa ana. Kwa hiyo huna mamlaka ya kusema hizi ni rangi zangu za kweli.
Kama unanijua hebu mwaga huo mtama basi...tena hapahapa...rukhsa!!!
Ndugu, hunijui kabisa. Hunijui kabisa!! Hata kama unadhani kwa namna moja ama nyingine kuwa unanijua, bottomline ni kuwa hunijui. Hakuna anayenijua humu hata kwa wale wawili ambao nimebahatika kuonana nao ana kwa ana. Kwa hiyo huna mamlaka ya kusema hizi ni rangi zangu za kweli.
Kama unanijua hebu mwaga huo mtama basi...tena hapahapa...rukhsa!!!
Spread love and not war......................................... natak jiko la peke yangu mie, si kila mja aje anipikie lol
Love silaha babe, pistol mzigo ati
Even a stress free thread is now heading towards stress true colours.....
Uwe na jioni njema
What are you talking about?
Karibu JJ mkuu tupate valuer pamoja na wapwaaz.....a single day like that can change our keyboard approach!
Karibu JJ mkuu tupate valuer pamoja na wapwaaz.....a single day like that can change our keyboard approach!
akananana akananana kaile kona kaile kaile nikeogolaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kwi kwi kwi kwi kwi wapi rutashubanyuma, wapi katerelo njoo fafanua hii hapa
Nimekusoma...........naomba kufundishwa love.Spread love and not war......................................... natak jiko la peke yangu mie, si kila mja aje anipikie lol
Love silaha babe, pistol mzigo ati
GY now you are talking something.......:yield::yield::yield: