Hebu wachek hawa Aspirin sijui ndio Chrispin sina uhakika na Dark City (DC)

Ha ha ha, ati mwalimu wa mwandiko, teh teh teh, kama namuona nanihiii anavyowatamani ila ndio hivyo akijiroga kujibu tu wasiomsoma watakuwa wamemtambua rasmi

yeye mwenyewe ndio yupo perfect chini ya jua...wengine wote mna makosoro/matatizo yenu...kawa malaika?
 
HAHHA haaaa ajibu tu
yeye achangii yeye akija apa anatafuta grammar na drama zake...ahh ananchosha yule!!!
afu dzain mtu mzma lakin swaga zake dooooooooo bora ata tineja ana busara.....nyamayao edit kdg bwana asije mwalimu akakuta nina makosa...sjaipost bado mpk uiedit....ndo ntatuma ahhh haaaaaaaaaaa!!!!!!:smile-big::smile-big:
 
hii sredi ni ya DC na Asprin tu?
mimi ni muizraeli wa Yerusalemu.
 
haahah nshaediti...hv ni mwalimu wako Rose? manake wewe ndio mama wa ma grammar....lol, anaonekana ni mbabu fulani lakini busara kazisahau alipozificha, cjui huwa anaona kila mtu anashobokea huko cjui mirikani...ovyo sana, kila mtu na lyfe lake humu hatujaja kuombana ugali bali kupanua mapafu, aje huko na vituc vyake vya cheap cheap vya mabatini/nyegezi....
 
uwiii rose naomba usivunje hizi mbavu za cheusi,maana nacheka hapa hadi naishiwa pumzi.penye wengi ni kawaida kuwa na mengi.
 
Loh! nilitegemea watu kuwa wastaarabu kwenye thread hii lakini wapi!! Wanausema ustaarabu wa wengine huku wakivunja kanuni ya ustaarabu na kuwarushia madongo yasiyo ya moja kwa moja wengine. Tena wanarusha hayo madongo huku wakiogopa kumtaja/ kuwataja huyo/hao watu. I see great thinkers hard at work!!

Hamna haja ya kuogopana humu. Kama mtu anakuudhi mwambie tu. Au mnaogopa mkimtaja huyo mtu au watu mtagongewa majumbani kwenu? Sidhani hata kidogo. Vilevile kuna "ignore list". Hakuna haja ya kuansisha thread nzima kusema watu. Ukiona mtu anakuboa wee mpotezee tu. Mweke kwenye orodha yako wa wapuuzwaji. Hakuna haja ya kutumia mafumbo. Isn't here where dare talk openly?
 
ha haaaaaaaaaaaa, wengine ndo tunaamka saa tisa hii, du! Asante sana Maty kwa hii sred. kama huna hoja kaa kimya, simple!
 
Loh! nilitegemea watu kuwa wastaarabu kwenye thread hii lakini wapi!! Wanausema ustaarabu wa wengine huku wakivunja kanuni ya ustaarabu na kuwarushia madongo yasiyo ya moja kwa moja wengine. Tena wanarusha hayo madongo huku wakiogopa kumtaja/ kuwataja huyo/hao watu. I see great thinkers hard at work!!

Hamna haja ya kuogopana humu. Kama mtu anakuudhi mwambie tu. Au mnaogopa mkimtaja huyo mtu au watu mtagongewa majumbani kwenu? Sidhani hata kidogo. Vilevile kuna "ignore list". Hakuna haja ya kuansisha thread nzima kusema watu. Ukiona mtu anakuboa wee mpotezee tu. Mweke kwenye orodha yako wa wapuuzwaji. Hakuna haja ya kutumia mafumbo. Isn't here where dare talk openly?

hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa dearest upo karibu jamvini
jamani baba aspirin naomba niazime miwani yako hv naona vizuri kweli, pale juu painkiller kanigongea sanks hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee au kuna mtu kaiba password yake
 
haahah nshaediti...hv ni mwalimu wako Rose? manake wewe ndio mama wa ma grammar....lol, anaonekana ni mbabu fulani lakini busara kazisahau alipozificha, cjui huwa anaona kila mtu anashobokea huko cjui mirikani...ovyo sana, kila mtu na lyfe lake humu hatujaja kuombana ugali bali kupanua mapafu, aje huko na vituc vyake vya cheap cheap vya mabatini/nyegezi....

ndo wwale wanaoringa kwa kujua chingereza
ANASHNDWA KUTOFAUTISHA KATI YA KNWLDGE NA LUGHA.
A:rip::rip::rip: TODAY
NAMTAMAN AJIBU
 
ulimbukeni unamsumbua hana lingine, yaani anajiona anayajua maisha na kona zaidi kuliko mtu mwingine yoyote kwenye maisha, mjuaji wa kila kitu, hajui napo kujifnya mjuaji sana kuna cost....aweke kwenye huo ubongo wake wa ziada kamaanao kuwa huku tumekuja kupanua mapafu sio kuombana ugali.
 
Loh! nilitegemea watu kuwa wastaarabu kwenye thread hii lakini wapi!! Wanausema ustaarabu wa wengine huku wakivunja kanuni ya ustaarabu na kuwarushia madongo yasiyo ya moja kwa moja wengine. Tena wanarusha hayo madongo huku wakiogopa kumtaja/ kuwataja huyo/hao watu. I see great thinkers hard at work!!

Hamna haja ya kuogopana humu. Kama mtu anakuudhi mwambie tu. Au mnaogopa mkimtaja huyo mtu au watu mtagongewa majumbani kwenu? Sidhani hata kidogo. Vilevile kuna "ignore list". Hakuna haja ya kuansisha thread nzima kusema watu. Ukiona mtu anakuboa wee mpotezee tu. Mweke kwenye orodha yako wa wapuuzwaji. Hakuna haja ya kutumia mafumbo. Isn't here where dare talk openly?
wap ndiz nile plau langu mie!!!1
skukuuu ishanoga apa!!!
matyu upo mama?
sjakosea spelln nyamayao?
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa dearest upo karibu jamvini
jamani baba aspirin naomba niazime miwani yako hv naona vizuri kweli, pale juu painkiller kanigongea sanks hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee au kuna mtu kaiba password yake

Hahahahahaaaa.....sichezagi mbali na jamvi na siendi kokote. Nilikuwepo toka mwanzo na ntakaa mpaka mwisho. Heheheheheeee.....just deal with me.....labda uombee nife kabla yako which is impossible coz Ngabus don't die, they multiply, ya dig? Sasa kajipongeze na makanga kwa kupata senksi ya painkiller....
 
hii sredi ni ya DC na Asprin tu?
mimi ni muizraeli wa Yerusalemu.

Nooooooooooooo sweet valuu, my sugar konyagi hata wewe ni mstaarabu sana hao tumewatolea mfano tu ila wanaweza kuwa wanaongoza kwa busara (kwa mtazamo wangu)
 
wap ndiz nile plau langu mie!!!1
skukuuu ishanoga apa!!!
matyu upo mama?
sjakosea spelln nyamayao?

saa ingine raha sana ujuapo unawakereketa watu halafu hawawezi kufanya chochote zaidi ya kulialia na kurusha vidongo kwa mbali.......hehehehehehee.....inashinda hata raha ya bao!!!! Watu wanakusema lakini wanaogopa kukutaja jina....heheheheheheheheeee.....loooooohhhh!!!!!! Very nice
 
Back
Top Bottom