Hebujionee walimu walivo weza kuwa batiza majina watu mbalimbali

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Posts
1,780
Reaction score
360
Nimekuwa nikiona watu wengi wakilalamika yakuwa majina yao yaliabadilishwa na walim wao shule za msingi, mfano Kimario- kimaryo, moshi-mushi, helen - hellen, nicholaus -nicolas, Mc-conan _makikonani .hebu endelea kama nawewe ni muhanga wa hili
 
Siku unapofanya mth wataifa,wanakwambia uandike jinalako halisi,kisha likienda mbele halitambuliki(jipya)kumbe lilelao washauza,mtakoma sihamtaki kuwapandisha mishahara!
 
Siku unapofanya mth wataifa,wanakwambia uandike jinalako halisi,kisha likienda mbele halitambuliki(jipya)kumbe lilelao washauza,mtakoma sihamtaki kuwapandisha mishahara!

kunajamaa yangu analalamika, cheti chakuzaliwa jilimebadika.kadi ya cliniki,shule ya msingi, chuo kaenda uhamiaji wanamwambia sio jina lako.
 
ha haaa, wahanga wapo wengi.....
majina mengine siwezi kuyaweka hapa maana yapo unique sana wenyewe wataniweka ngumi bure
 
hii hali imekuwa ikijitokeza hata unaposajili line ya simu, unampakitambulisho anaandika interest yake, kivumbi kinakuja unapotaka kurenew line, unaambiwa line sio yako maana majina hayafanani moses-mozesi, khaa!
 
Michael= maiko
James= Jemsi
Joseph= Josefu
Happy= hepi
George= Joji
Queen= kwini.
 
hii hali imekuwa ikijitokeza hata unaposajili line ya simu, unampakitambulisho anaandika interest yake, kivumbi kinakuja unapotaka kurenew line, unaambiwa line sio yako maana majina hayafanani moses-mozesi, khaa!


Nilikuwa nacheka hapa kumbe tatizo sio walimu peke yao,hili sasa linataka kuwa janga la mfumo mzima wa elimu na maisha kwa ujumla..
 
daah yamemkuta tena mkewang jamaniiiiii, ameenda kuomba paspot anambiwa jina halinga na la cheti cha kuzaliwa , natoa onyo kwa wazazi jaribuni kujua waalim wanaandika nama gani majina ya watoto wenu sio mnajifanya mpo busy, it will cost for the coming years.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…