Heche adai mahakama inatumika kumkandamiza Lissu

Ameandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche:

"Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne,
Leo ni miezi 11.

Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu kama chama kikuu cha siasa Tanzania.

Tangu mwezi wa 10 mwaka 2025, Mwenyekiti alikaa Magereza kwa zaidi ya miezi minne bila kesi kuendelea huku akiteseka bila sababu yoyote.

Tunajua hii kesi imefunguliwa kumtesa kiongozi wetu ili abadili msimamo wake kuhusu mambo ya Nchi yetu… kuhusu ufisadi wa serikali ya Samia , mauaji, utekaji, wizi wa mali za umma, maisha mabovu na uchumi wa hovyo kwa watu wetu… Tunajua anateswa kwasababu yetu Watanzania.

Rufaa ya juzi kwa mambo yasikatiwa rufaa ni ushahidi mwingine kwamba hakuna kesi bali kumpotezea Mwenyekiti muda wake na kumtesa..

Huu ni mwezi sasa Mahakama iko kimya, tunajiuliza kesi yenye uzito kama huu kwa mtu ambae amekaa ndani mda wote huu.. inakuaje mahakama isione urgency kwenye jambo hili..

Mahakama iliyotegemewa kutoa haki na kumaliza jambo hili kwa haraka, inapokaa kimya kunakua na mashaka makubwa..

Sisi hatuwezi kuendelea kunyamazia suala hili.
Tunataka huu uhuni ukome haraka , Mwenyekiti wetu aachiwe arudi kufanya wajibu wake.

Wanachama wetu na Watanzania hawataendelea kukalia kimya uonevu wa wazi kwa mtu asiye na hatia."

Wanamtesa sana jamaa

Sio fair kabisa

Kuwa Jaji bongo ni aibu samtaimu, pamoja na malipo kiduchu. 😊
Bongo mahakama ni kinyago tuu. Mahakama huru ipo Kenya kwa ukanda huu wa mapoyoyo. Huyo jamaa anaweza kaa gerezani kwa miaka mingi sana bongo hii.
Siku CHADEMA na Watanzania kwa ujumla wakipata ujasiri wa kuanza KUIKAIDI hadi Mahakama ndiyo utakuwa mwisho wa udhalimu.
 
Mkuu za kuambiwa ukichanganya na zako nadhani utaelewa kila kitu.
Mnaumiza baadhi ya watu ili kuwatisha wengine halafu mnajisifu. Au ndiyo mambo mliyojifunza kwa washkaji zenu kule Mexico kwenye ile biashara yenu ya madawa ya kulevya maana ndiyo style yao hiyo.
 
Inaonekana una ufahamu wa mambo mengi mkuu. Binafsi sijui haya.
 
Watu wakichoka kuitafuta haki katika vyombo rasmi wataitafuta katika njia zisizo rasmi .

Hiyo siku itafika na kuna watu wataanza kuulizana maswali kama imekuaje tena hawa sio watanzania tuliowazoea au mara kuna mkono wa mabeberu , kumbe ni kipimo cha uvumilivu kimegota.
 
Kwa Tanzania, kwa sasa kuwa jaji ni laana, kwa maana unafanywa kuwa wakala wa shetani katika kudhulumu haki za watu. Yaani majaji kwa Tanzania hawana tofauti na mapolisi, wote wamekuwa mawakala wa uovu.
 
Ameandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche:

"Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne,
Leo ni miezi 11.

Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu kama chama kikuu cha siasa Tanzania.

Tangu mwezi wa 10 mwaka 2025, Mwenyekiti alikaa Magereza kwa zaidi ya miezi minne bila kesi kuendelea huku akiteseka bila sababu yoyote.

Tunajua hii kesi imefunguliwa kumtesa kiongozi wetu ili abadili msimamo wake kuhusu mambo ya Nchi yetu… kuhusu ufisadi wa serikali ya Samia , mauaji, utekaji, wizi wa mali za umma, maisha mabovu na uchumi wa hovyo kwa watu wetu… Tunajua anateswa kwasababu yetu Watanzania.

Rufaa ya juzi kwa mambo yasikatiwa rufaa ni ushahidi mwingine kwamba hakuna kesi bali kumpotezea Mwenyekiti muda wake na kumtesa..

Huu ni mwezi sasa Mahakama iko kimya, tunajiuliza kesi yenye uzito kama huu kwa mtu ambae amekaa ndani mda wote huu.. inakuaje mahakama isione urgency kwenye jambo hili..

Mahakama iliyotegemewa kutoa haki na kumaliza jambo hili kwa haraka, inapokaa kimya kunakua na mashaka makubwa..

Sisi hatuwezi kuendelea kunyamazia suala hili.
Tunataka huu uhuni ukome haraka , Mwenyekiti wetu aachiwe arudi kufanya wajibu wake.

Wanachama wetu na Watanzania hawataendelea kukalia kimya uonevu wa wazi kwa mtu asiye na hatia."
I think you guys mnahitaji extra mind kwa sbb hiki kinachoendelea ni kama plan o something flamed ambayo cdm wanaelea humo ndani.. ni vyema wakafocus kwenye agenda waachane na issues. Maana tayari wametengenezewa issues amesahau agendas...

Siku wakiamka kutoka kwenye huo usingizi ndo siku neno chama kikuu cha upinzani litakapo para maana
.
Mkongwe
 
Bongo mnaleana yaani nchi nzima mmekosa gun, au grenade, akipigwa chuma Katuga,au jaji anayesimamia kesi,,, basi Lissu atatoka, hao vibaka mnawalea nyinyi
 
I think you guys mnahitaji extra mind kwa sbb hiki kinachoendelea ni kama plan o something flamed ambayo cdm wanaelea humo ndani.. ni vyema wakafocus kwenye agenda waachane na issues. Maana tayari wametengenezewa issues amesahau agendas...

Siku wakiamka kutoka kwenye huo usingizi ndo siku neno chama kikuu cha upinzani litakapo para maana
.
Mkongwe
Kipaumbele ni kiongozi wa Chama aachiliwe bila masharti yoyote. Usifanye kama kushikiliwa kwa Lissu kuwa ni jambo dogo. Hiyo ndiyo issue na agenda kuu!
 
Thibitisha! Mi naona mahakama itakua haitendi haki kama haitasikiliza kesi mpaka mwisho na kutoa hukumu. Mpaka sasa sijaona mahakama ilipokosea wanasikiliza kesi huo ndiyo wajibu wa mahakama
Wanasikiliza wanavyotaka? Justice delayed ... Ni mtu mjinga tu anaweza kusema anatagemea kupata haki kwenye mahakama hizi. Ni suala la kuitisha maandamano ya kutokuwa na imani na mahakama. Hatuwezi kukaa kimya kwa kesi ambayo hata ushahidi unaotolewa unaona kabisa ni wa kubumba.
 
Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu kama chama kikuu cha siasa Tanzania.
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stphen Wassira alishatangaza wazi hadharani kuwa Mwenyekiti Tundu Lissu atabaki mahakamani milele asipokubali masharti.
Wassira hawezi kuropoka hadharani mambo haya bila ya kuyajadili na Mwenyekiti wake.

Hapa hakuna shaka yoyote kwamba mahakama inatumika kwa lengo maalum ililopangiwa na serikali na Chama tawala.
Sisi hatuwezi kuendelea kunyamazia suala hili.
Tunataka huu uhuni ukome haraka , Mwenyekiti wetu aachiwe arudi kufanya wajibu wake.

Wanachama wetu na Watanzania hawataendelea kukalia kimya uonevu wa wazi kwa mtu asiye na hatia.
Ni wakati sahihi kabisa sasa kwamba chama ni lazima likiwekee uzito mkubwa swala hili.
Hii sasa itabidi iwe ni ajenda ya juu kabisa kuishughulikia na kueneza kwa jamii hatua zote zinazochukuliwa kukomesha uhayawani huu.
 
Ameandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche:

"Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne,
Leo ni miezi 11.

Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu kama chama kikuu cha siasa Tanzania.

Tangu mwezi wa 10 mwaka 2025, Mwenyekiti alikaa Magereza kwa zaidi ya miezi minne bila kesi kuendelea huku akiteseka bila sababu yoyote.

Tunajua hii kesi imefunguliwa kumtesa kiongozi wetu ili abadili msimamo wake kuhusu mambo ya Nchi yetu… kuhusu ufisadi wa serikali ya Samia , mauaji, utekaji, wizi wa mali za umma, maisha mabovu na uchumi wa hovyo kwa watu wetu… Tunajua anateswa kwasababu yetu Watanzania.

Rufaa ya juzi kwa mambo yasikatiwa rufaa ni ushahidi mwingine kwamba hakuna kesi bali kumpotezea Mwenyekiti muda wake na kumtesa..

Huu ni mwezi sasa Mahakama iko kimya, tunajiuliza kesi yenye uzito kama huu kwa mtu ambae amekaa ndani mda wote huu.. inakuaje mahakama isione urgency kwenye jambo hili..

Mahakama iliyotegemewa kutoa haki na kumaliza jambo hili kwa haraka, inapokaa kimya kunakua na mashaka makubwa..

Sisi hatuwezi kuendelea kunyamazia suala hili.
Tunataka huu uhuni ukome haraka , Mwenyekiti wetu aachiwe arudi kufanya wajibu wake.

Wanachama wetu na Watanzania hawataendelea kukalia kimya uonevu wa wazi kwa mtu asiye na hatia."
Uzuri ni kwamba TAL died and was resurrected for a more genuine liberation mission.
Jail him... torture him... exterminate him or release him; None of the exit strategy is safer for the ccm clandestine!
 
Mwigulu unaejifanya mzalendo uoni aibu home boy wako Tundu antipas Mugwai lissu yupo jela sasa unaenda mwaka sasa kwa kesi za uongo. Unapata wapi nguvu za kwenda kanisani kuomba Mungu wakati unajua kuna mtu yuko jela mwaka kwa kesi ya Uongo ambayo haina tija Una uzalendo gani?
 
Dini ni nyenzo mojawapo ya watawala kutawala vizuri kwa wepesi raia wake, haina maana nyingine kubwa sana kwa watawala kama mnavyofikiria mkiwaona kanisani na misikitini.
 
Wanasikiliza wanavyotaka? Justice delayed ... Ni mtu mjinga tu anaweza kusema anatagemea kupata haki kwenye mahakama hizi. Ni suala la kuitisha maandamano ya kutokuwa na imani na mahakama. Hatuwezi kukaa kimya kwa kesi ambayo hata ushahidi unaotolewa unaona kabisa ni wa kubumba.
Samia Mhalifu na Genge lake walijiaminisha kuwa wanaweza kufanya chochote na wasihojiwe; walipohojiwa wakafikiri kuua waTanzania kutawatia uoga wasiendelee kuhoji utawala wao wa mabavu.

Ni lazima waendelee kuhojiwa na uovu wao kukataliwa..

Umependekeza maandamano, nami naunga mkono; lakini kwanza CHADEMA ni muhimu sana hili swala la kutopata HAKI ndani ya mahakama walipe muda maalum wa kulieleza kwa wananchi, nchi nzima kwa njia mbalimbali.
Na lisiwe swala la Tundu Lissu pekee, ingawa ndilo kielelezo muhimu kwa kunyimwa HAKI mahakamani.

Wajipange vyema na wajipe muda maalum wa kuliweka mbele swala hili kwa wananchi.

Baada ya muda huo, na kama hakuna dalili zozote ndani ya mahakama; kuitishwe maandamano makubwa sana ambayo hayajawahi kutokea Tanzania.

Juzi Iran walikusanyika kuadhimisha siku maalum wakati Israel wakipiga mabomu pembezoni wa mkusanyiko huo, na watu hawakutikisika.

Ni wakati sasa waTanzania, wakiongozwa na CHADEMA kujitokeza kwa wingi kabisa kukata mzizi huu wa uovu unaoota mizizi chini ya Samia na Genge lake.

Samia na wote wanaomzunguka wamekwisha ua maelfu ya waTanzania. Wao watategemea kuishi vipi kuendelea kuua maelfu wengine?
 
Back
Top Bottom