1. Kusitisha kusikiliza kesi na kumuachia huyo, ni kusitisha utoaji wa haki kwake, kwa chadomo na ndugu zake, acha haki itendeke (hayupo special kama tunavyomtafsiri)
Hakuna anayesema isitishwe kienyeji bila kufuata utaratibu wa kisheria ambao ni haki yote.
Tunataka hiki ndicho kifanyike: Mlango waliomuingizia ndiyo huohuo wamtolee kwa kusema kwa sauti kubwa kuwa "DPP HANA NIA YA KUENDELEA NA SHAURI HILI...!!"
Kinacholeta haya yote ni kuwa Samia anataka amtoe kwa mtindo wa ki - Mbowe a.k.a FREEMAN MBOWE STYLE, kupitia mlango wa uani kisha aibukie Magogoni au Chamwino. Hapa ndipo wanaposhindania. Na ofcoz, HALIKUBALIKI..
3. Hatuwez kuwa mahiri wa kukinukisha, halafu tukawa wepesi wa kusema eti fulan anateseka huko sehemu salamu
Aliyeua maelfu ya watu 29/10 - 4/11/2025 ndiye aliyekinukisha na sasa ananuka kwelikweli..
Nyie ni wajinga na wapumbavu kwelikweli kwani aliyesema neno moja tu "tutakinukisha" akakaa pembeni, cha ajabu nyie mkiongozwa na Bi Msumi a.k.a Chura Kiziwi a.k.a Samia Suluhu Hassan mliokuwa wanamvizia kuona atakinukishje eti ndio mkafungua maghala ya silaha mabomu, bunduki na risasi kisha mkazagaa mitaani kama wendawazimu mkiua watu hovyo kwa siku 5 mfululizo huku mkiwa mmezima internet ili uovu wenu usionekane..!
Eti leo mnalia lia hovyo mkitafuta mchawi au mbuzi wa kafara wa kumtupia maovu na ushenzi wenu....!
You're very stupid kwa kuwa HILO HALIWEZEKANI NA LAZIMA MTAWAJIBIKA SAWIA KWA USHENZI WENU...!!!!!!!
4. Kuachia bila hukumu inaashiria kunyima watu haki zao.
Hakuna hukumu ya adhabu kwa kosa lisilokuwepo...
Mhaini namba moja yuko Ikulu ya Magogoni na Chamwino anaweweseka...
Tunawahakikishia jambo moja kuwa, MTAKIMBIA KIMBIA HIVI HIVI LAKINI MWISHO WA SIKU MTACHOKA NA MTAKAMATIKA TU WASHENZI NYIE...
HAKI haishindwi na UOVU...
5. Dunia inajua kuwa lissu yupo gerezani
Absolutely, Yes...
dunia hii hii inajua hila za lissu?
Mmeshashindwa kuziweka wazi hukohuko mahakamani na badala yake mnakimbiakimbia tu wapumbavu nyie...
Mmeshindwa kuziweka wazi kwa kuwa HAZIPO NA HAZITAKUWEPO HATA MPEWE MUDA WOTE DUNIA KUZITAFUTA NA KUZILETA...!!
-kwa nini isisubiri tuone kama lissu ni mhalifu au siyo?
He's not guilty...!!!
HUELEWI KITU GANI WEWE CHAWA...????
Shahidi muhimu nambari moja wa kielelezo cha video ya JAMBOTV alikuwa shahidi feki na mahakama ikathibitisha hivyo kuwa huyu shahidi ni feki na hivyo hata ushahidi wake obvious ni feki....
What do you expect kama umefunga injini mbovu kwenye gari yako...?
Ushahidi mkuu unaoibeba kesi unapokuwa umekataliwa na mahakama, kunakuwa na kesi gani tena hapo...?
Acheni uongo na unyambizi hayawani nyie...
Mwachieni mzee wa watu aendelee na shughuli zake. Hamumuwezi huyo kisiasa na kisheria pia...!!!