Ameandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche:
"Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne,
Leo ni miezi 11.
Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu kama chama kikuu cha siasa Tanzania.
Tangu mwezi wa 10 mwaka 2025, Mwenyekiti alikaa Magereza kwa zaidi ya miezi minne bila kesi kuendelea huku akiteseka bila sababu yoyote.
Tunajua hii kesi imefunguliwa kumtesa kiongozi wetu ili abadili msimamo wake kuhusu mambo ya Nchi yetu… kuhusu ufisadi wa serikali ya Samia , mauaji, utekaji, wizi wa mali za umma, maisha mabovu na uchumi wa hovyo kwa watu wetu… Tunajua anateswa kwasababu yetu Watanzania.
Rufaa ya juzi kwa mambo yasikatiwa rufaa ni ushahidi mwingine kwamba hakuna kesi bali kumpotezea Mwenyekiti muda wake na kumtesa..
Huu ni mwezi sasa Mahakama iko kimya, tunajiuliza kesi yenye uzito kama huu kwa mtu ambae amekaa ndani mda wote huu.. inakuaje mahakama isione urgency kwenye jambo hili..
Mahakama iliyotegemewa kutoa haki na kumaliza jambo hili kwa haraka, inapokaa kimya kunakua na mashaka makubwa..
Sisi hatuwezi kuendelea kunyamazia suala hili.
Tunataka huu uhuni ukome haraka , Mwenyekiti wetu aachiwe arudi kufanya wajibu wake.
Wanachama wetu na Watanzania hawataendelea kukalia kimya uonevu wa wazi kwa mtu asiye na hatia."
Wanamtesa sana jamaa
Sio fair kabisa
Siku CHADEMA na Watanzania kwa ujumla wakipata ujasiri wa kuanza KUIKAIDI hadi Mahakama ndiyo utakuwa mwisho wa udhalimu.Kuwa Jaji bongo ni aibu samtaimu, pamoja na malipo kiduchu. 😊
Bongo mahakama ni kinyago tuu. Mahakama huru ipo Kenya kwa ukanda huu wa mapoyoyo. Huyo jamaa anaweza kaa gerezani kwa miaka mingi sana bongo hii.
Mkuu za kuambiwa ukichanganya na zako nadhani utaelewa kila kitu.Kwa hiyo mnafanya hivyo ili wengine wasio na majina watishike?
Mnaumiza baadhi ya watu ili kuwatisha wengine halafu mnajisifu. Au ndiyo mambo mliyojifunza kwa washkaji zenu kule Mexico kwenye ile biashara yenu ya madawa ya kulevya maana ndiyo style yao hiyo.Mkuu za kuambiwa ukichanganya na zako nadhani utaelewa kila kitu.
Inaonekana una ufahamu wa mambo mengi mkuu. Binafsi sijui haya.Mnaumiza baadhi ya watu ili kuwatisha wengine halafu mnajisifu. Au ndiyo mambo mliyojifunza kwa washkaji zenu kule Mexico kwenye ile biashara yenu ya madawa ya kulevya maana ndiyo style yao hiyo.
I think you guys mnahitaji extra mind kwa sbb hiki kinachoendelea ni kama plan o something flamed ambayo cdm wanaelea humo ndani.. ni vyema wakafocus kwenye agenda waachane na issues. Maana tayari wametengenezewa issues amesahau agendas...Ameandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche:
"Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne,
Leo ni miezi 11.
Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu kama chama kikuu cha siasa Tanzania.
Tangu mwezi wa 10 mwaka 2025, Mwenyekiti alikaa Magereza kwa zaidi ya miezi minne bila kesi kuendelea huku akiteseka bila sababu yoyote.
Tunajua hii kesi imefunguliwa kumtesa kiongozi wetu ili abadili msimamo wake kuhusu mambo ya Nchi yetu… kuhusu ufisadi wa serikali ya Samia , mauaji, utekaji, wizi wa mali za umma, maisha mabovu na uchumi wa hovyo kwa watu wetu… Tunajua anateswa kwasababu yetu Watanzania.
Rufaa ya juzi kwa mambo yasikatiwa rufaa ni ushahidi mwingine kwamba hakuna kesi bali kumpotezea Mwenyekiti muda wake na kumtesa..
Huu ni mwezi sasa Mahakama iko kimya, tunajiuliza kesi yenye uzito kama huu kwa mtu ambae amekaa ndani mda wote huu.. inakuaje mahakama isione urgency kwenye jambo hili..
Mahakama iliyotegemewa kutoa haki na kumaliza jambo hili kwa haraka, inapokaa kimya kunakua na mashaka makubwa..
Sisi hatuwezi kuendelea kunyamazia suala hili.
Tunataka huu uhuni ukome haraka , Mwenyekiti wetu aachiwe arudi kufanya wajibu wake.
Wanachama wetu na Watanzania hawataendelea kukalia kimya uonevu wa wazi kwa mtu asiye na hatia."
Sikuzidi wewe mkuuInaonekana una ufahamu wa mambo mengi mkuu. Binafsi sijui haya.
Kipaumbele ni kiongozi wa Chama aachiliwe bila masharti yoyote. Usifanye kama kushikiliwa kwa Lissu kuwa ni jambo dogo. Hiyo ndiyo issue na agenda kuu!I think you guys mnahitaji extra mind kwa sbb hiki kinachoendelea ni kama plan o something flamed ambayo cdm wanaelea humo ndani.. ni vyema wakafocus kwenye agenda waachane na issues. Maana tayari wametengenezewa issues amesahau agendas...
Siku wakiamka kutoka kwenye huo usingizi ndo siku neno chama kikuu cha upinzani litakapo para maana
.
Mkongwe
Wanasikiliza wanavyotaka? Justice delayed ... Ni mtu mjinga tu anaweza kusema anatagemea kupata haki kwenye mahakama hizi. Ni suala la kuitisha maandamano ya kutokuwa na imani na mahakama. Hatuwezi kukaa kimya kwa kesi ambayo hata ushahidi unaotolewa unaona kabisa ni wa kubumba.Thibitisha! Mi naona mahakama itakua haitendi haki kama haitasikiliza kesi mpaka mwisho na kutoa hukumu. Mpaka sasa sijaona mahakama ilipokosea wanasikiliza kesi huo ndiyo wajibu wa mahakama
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stphen Wassira alishatangaza wazi hadharani kuwa Mwenyekiti Tundu Lissu atabaki mahakamani milele asipokubali masharti.Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu kama chama kikuu cha siasa Tanzania.
Ni wakati sahihi kabisa sasa kwamba chama ni lazima likiwekee uzito mkubwa swala hili.Sisi hatuwezi kuendelea kunyamazia suala hili.
Tunataka huu uhuni ukome haraka , Mwenyekiti wetu aachiwe arudi kufanya wajibu wake.
Wanachama wetu na Watanzania hawataendelea kukalia kimya uonevu wa wazi kwa mtu asiye na hatia.
Uzuri ni kwamba TAL died and was resurrected for a more genuine liberation mission.Ameandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche:
"Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne,
Leo ni miezi 11.
Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni ya uongo kwaajili ya kulinda Utawala usio na ridhaa, kutishia watu na kutaka tusitimize wajibu wetu kama chama kikuu cha siasa Tanzania.
Tangu mwezi wa 10 mwaka 2025, Mwenyekiti alikaa Magereza kwa zaidi ya miezi minne bila kesi kuendelea huku akiteseka bila sababu yoyote.
Tunajua hii kesi imefunguliwa kumtesa kiongozi wetu ili abadili msimamo wake kuhusu mambo ya Nchi yetu… kuhusu ufisadi wa serikali ya Samia , mauaji, utekaji, wizi wa mali za umma, maisha mabovu na uchumi wa hovyo kwa watu wetu… Tunajua anateswa kwasababu yetu Watanzania.
Rufaa ya juzi kwa mambo yasikatiwa rufaa ni ushahidi mwingine kwamba hakuna kesi bali kumpotezea Mwenyekiti muda wake na kumtesa..
Huu ni mwezi sasa Mahakama iko kimya, tunajiuliza kesi yenye uzito kama huu kwa mtu ambae amekaa ndani mda wote huu.. inakuaje mahakama isione urgency kwenye jambo hili..
Mahakama iliyotegemewa kutoa haki na kumaliza jambo hili kwa haraka, inapokaa kimya kunakua na mashaka makubwa..
Sisi hatuwezi kuendelea kunyamazia suala hili.
Tunataka huu uhuni ukome haraka , Mwenyekiti wetu aachiwe arudi kufanya wajibu wake.
Wanachama wetu na Watanzania hawataendelea kukalia kimya uonevu wa wazi kwa mtu asiye na hatia."
Samia Mhalifu na Genge lake walijiaminisha kuwa wanaweza kufanya chochote na wasihojiwe; walipohojiwa wakafikiri kuua waTanzania kutawatia uoga wasiendelee kuhoji utawala wao wa mabavu.Wanasikiliza wanavyotaka? Justice delayed ... Ni mtu mjinga tu anaweza kusema anatagemea kupata haki kwenye mahakama hizi. Ni suala la kuitisha maandamano ya kutokuwa na imani na mahakama. Hatuwezi kukaa kimya kwa kesi ambayo hata ushahidi unaotolewa unaona kabisa ni wa kubumba.